Kiasili, kila mtu ni muuzaji.Kila mtu anauza kila wakati, haijalishi wewe ni nani, kila unapokutana na mtu mwingine, unapoelezea wazo lako, unapotoa maoni yako, unauza kitu muhimu sana, ambacho ni wewe mwenyewe. Kitendo tu cha kuweza kumshawishi mtu na akubaliana na wewe hapo unakuwa muuzaji. Kwa sababu umeuza mawazo yako kwa wengine. Kama unatafuta kazi …
Continue reading "Kama Unataka Kuwa Muuzaji Mzuri, Kuwa Na Tabia Hizi Mbili"