Design a site like this with WordPress.com
Get started

Usisome Kumaliza, Soma Kujifunza

Watu wengi huwa wanasoma kama kasuku, wanakimbilia kusoma ili wamalize vitabu vingi. Wengine watajitamba kwamba, wamesoma vitabu kadhaa ndani ya muda fulani. Kujitamba bila matokeo hakuna maana yoyote ya kusoma vitabu. Unapokuwa mtu wa kusoma, tunataka kuona matokeo mazuri na siyo kumuona mtu yule yule kila siku. Maisha ya kusoma vitabu yakubadilishe kweli, uishi yale …

ZAWADI YA KUMNUNULIA YULE UMPENDAYE KWENYE SIKU YA VALENTINE.

Je, unataka kumpatia zawadi mtu wako wa karibu leo kwenye kilele cha siku ya wapendao duniani? Kama jibu lako ni ndiyo, basi zawadi sahihi ya kunogesha mahusiano yako ni kumnunulia yule umpendaye kitabu. Pata zawadi ya kitabu hiki kwa shilingi elfu 15 leo kwa bei ya ofa. Acha wajue kwamba unampenda, waoneshe watu wako wa …

Imebaki Siku Moja Tu Ili Tuhitimishe Kilele Cha Mwezi Wa Mapenzi Mubashara.

Imebaki Siku Moja Tu Ili Tuhitimishe Kilele Cha Mwezi Wa Mapenzi Mubashara. Soma kwanza kisa cha hadithi hapo chini, kisha chukua hatua ya kujali mahusiano yako kwa kusoma kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa. “Mwaka wa kwanza wa ndoa mume anaongea mke anasikiliza. Mwaka wa pili mke anaongea mume anasikiliza. Mwaka tatu mume na mke …

Kitabu Kipya; Jinsi Ya Kutengeneza Bahati Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kwa furaha kubwa napenda kutumia nafasi hii kukujulisha kuwa nimezindua kitabu kipya kiitwacho Jinsi Ya Kutengeneza Bahati Yako. Natumaini nilishakueleza ndoto yangu ya kuandika vitabu 100 mpaka ifikapo tarehe 30/9/2030 na kitabu cha leo ni mchakato wa kufikia vitabu hivyo 100. Na ni kitabu cha jinsi ya kutengeneza bahati yako kweli, mimi …

Ili Uweze Kushinda Unahitaji Kupanga Kushinda, Karibu Ujifunze Namna Ya Kupanga Hapa

Je, unajua umezaliwa kushinda? Kila mtu anaweza kuwa mshindi kwenye maisha yake, kila mtu amezaliwa na uwezo mkubwa sana ndani yake. Lakini cha ajabu dunia imefanya kazi ya¬† kutuaminisha kwamba siyo kila mtu anaweza kufanikiwa, kitu ambacho siyo kweli. Kupitia kitabu hiki cha Kwanini Umezaliwa Kushinda utakwenda kupata majibu sahihi ya kwanini umezaliwa kushinda. Ufanye …

Jinsi Ya Kupata Mabadiliko Ya Kweli

Mabadiliko ya kweli yanaleta mafanikio ya kweli. Fanya mabadiliko ya kweli kwenye maisha yako ili upate mafanikio ya kweli. Nimekuandalia mabadiliko 250 ya ushindi yatakayokusaidia mwaka wako uwe mwaka wa ushindi. Kila siku unasoma badiliko moja na unaenda kuchukua hatua, mabadiliko haya yana nguvu sana. Usijicheleweshe kupata kitabu hiki kuwa sehemu ya washindi mwaka 2022 …

Je, Unajua Njaa Ya Mwenza Wako

Je, unajua Njaa ya mwenza wako? Kama hujui basi utakua humshibishi na madhara ya mtu kuwa na njaa ni makubwa. Hakikisha unamshibisha mwenza wako vizuri na siyo kumwacha akiwa na njaa. Sasa utajuaje njaa ya mke au mume wako? Majibu ya swali hilo utayapata kupitia kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa, kwanini unavumilia maisha ya …

Kwanini Msamaha Siyo Kuvumilia Wala Siyo Kusahau

Je, unajua MSAMAHA siyo kusahau?Ikitokea mtu amekukata mkono wako utaweza kumsahau maisha yako yote wakati unaona jeraha alilokuumiza? Karibu sana upate maarifa sahihi juu ya Msamaha, kupitia kitabu cha Kwanini Msamaha (Why Forgiveness)utajifunza kwanini Msamaha siyo kuvumilia au kusahau. Pata nakala yako leo kwa bei ya ofa, kumbuka zimebaki siku 2 kuisha kwa ofa hii …

Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho

Habari rafiki yangu nikupendae,  Leo ninayo habari njema kwa wakazi wa Dar Es salaam, kuanzia leo kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa kinapatikana jijini Dar Es salaam huna haja tena ya kutuma na nauli wewe ni kutoa tu oda nahitaji kitabu na kuletewa kitabu hapo ulipo.  Tumekusogezea huduma karibu na kazi hii itakuwa inafanywa na …

Ushuhuda Wa Msomaji Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa-1

Mpendwa rafiki yangu, Kazi yangu leo ni kukupa ushuhuda kutoka kwa Msomaji wa Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa. Kama inavyojionesha hapo kwenye screenshot ndivyo inavyoonesha majadiliano yetu baada ya kukipata kitabu. Kitabu hiki kinapatikana kwa mfumo wa nakala ngumu. Bei ya kitabu hiki ni 15000 na haijalishi uko wapi tutakutumia kwa njia ya basi …