Ingekuwa Wewe Ungefanya Nini?

Kiasili sisi binadamu ni wavivu, ni viumbe ambavyo tunapenda kusukumwa kufanya vitu. Ni watu wachache sana ambao wana nidhamu binafsi ambao wanaweza kupanga kitu na kufanyia kazi. Kupanga ni rahisi sana ndiyo maana kila mtu anapanga lakini kufanya imekuwa ni kipengele kingine. Tunao watu wa mfano ambao wanafanya makubwa sasa unapaswa kuwatumia kama watu wako …

Kama Unataka Kuacha Kitu, Acha Kwa Sababu Hii Hapa

Kifupi tu rafiki yangu, maisha ni maumivu, , kwa namna yoyote ile huwezi kukwepa maumivu kwenye hii dunia. Watu wengi wanapenda kupata vitu bila maumivu, mtu anataka maisha yake yabadilike bila kuweka kazi au juhudi yoyote ile. Wengi wanajiambia kabisa hawezi kujitesa, na ukishindwa kujitesa kwa sababu ya kupata kitu kizuri utakuja kupata maumivu ya …

Jinsi Ya Kuendelea Kuwa Kijana Bila Kuzeeka

Siku moja mwandishi wa kitabu cha How I Raised myself from failure to success in Selling alimtembelea daktari mmoja, alishangazwa kukutana na daktari ambaye umri wake ni zaidi ya miaka 60 lakini bado kila mwaka alikuwa anaenda kuhudhuria semina za madaktari kwa ajili ya kuongeza maarifa kwenye taaluma yake. Na muhimu zaidi ni kwamba kujifunza …

Kipi Bora Kati Ya Faida Na Mshahara?

Una mtazamo chanya kuhusu faida na mshahara? Kadiri ya mwanafalsafa Jim Rhon anasema faida ni bora kuliko mshahara. Kwa nini?Kwa sababu mshahara utakupa fedha ya kuendesha maisha pekee lakini faida itakupa mafanikio makubwa. Kama umeajiriwa basi hakikisha una biashara ya pembeni na usitegemee mshahara pekee yake. Kwa sababu hata mshahara uwe mkubwa kiasi gani, huwa …

Unamdanganya Nani?

Maisha kiuhalisia hayadanganyi ila wewe mwenyewe ndiyo unajidanganya. Maisha ni maigizo lakini kuigiza kitu ambacho siyo sahihi siyo sawa. Kuwa na maisha yenye uadilifu, chochote unachofanya fanya kwa uaminifu na uadilifu. Maisha yako yasiwe na makando makando mengi maana yanakuchosha kuigiza. Nilishawahi kuandika kwamba, maisha ya kuigiza una hela halafu huna hela yana gharama sana. …

Sifa Inayolipa Sana Duniani

Mwandishi mmoja wa kitabu cha How I Raised Myself From Failures to Success in Selling alikuwa ni mchezaji wa kikapu, alikuwa anachezea timu moja huko Marekani. Siku moja kocha wake wa timu ya kikapu akamwita, akamwambia tumeamua kukufukuza katika timu yetu ya kikapu. Frank akauliza, ni kwa sababu gani mmeamua kunifukuza kazi? Kocha wake akamjibu …

Mambo Yasiyokuwa Na Tija Yananasa Umakini Wako

Kwenye maisha kuna drama nyingi sana, unaweza kupanga mipango yako lakini usiitimize lakini mambo ya kijinga ambayo hujayapangia ratiba yanachukua umakini wako. Mambo yasiyokuwa na tija, yananasa umakini wako kuliko maelezo. Utaweza kusema huna muda wa kufanya mambo muhimu lakini mambo yasiyokuwa na tija yakanasa umakini wako. Tumezungukwa na mambo mengi yasiyokuwa na tija, ambayo …

Ifahamu Siri Muhimu Kuliko Zote Kwenye Mauzo

Biashara zote ambazo hazifanyi vizuri tatizo lake moja linakuwa kwenye mauzo. Kama biashara haina mauzo mazuri maana yake haina maisha. Mauzo ndiyo kila kitu kwenye biashara, yaani pumzi kwenye biashara. Mauzo yanapokuwa vizuri, biashara inakuwa vizuri maana itapata fedha ya kujiendesha. Kwenye kitabu cha How I Raised Myself From Failures to Success in Selling, mwandishi …

Wako Watu Wa Aina Mbili, Je wewe Upo Aina Gani Kati Ya Hawa

Kuna watu aina mbili hapa duniani. Wapo watu ambao wanayakubali majukumu yao na kuchukua hatua. Na wapo watu ambao wanayakataa kabisa majukumu yao na kutafuta sababu kwa nini hawawezi kuchukua hatua. Kifupi rafiki yangu, mafanikio hayajawahi kwenda kwa mtu yeyote ambaye siyo wa kukubali majukumu. Mafanikio yanawapenda wale wanaokubali majukumu na kuchukua hatua na siyo …

Njia Pekee Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha

Ni mtu kutumia kile ambacho kipo ndani yake, kukifanyia kazi na kuweza kutoa matokeo mazuri. Kila mtu ana kitu ambacho kipo ndani yake, kitu ambacho ni tofauti kabisa na watu wengine. Lakini, wengi wamekuwa hawafanyii kazi kilichopo ndani, ila wanakimbizana na vitu vya nje. Huwezi kufanikiwa kwenye kitu chochote kile kama umeshindwa kutumia vizuri kile …

Design a site like this with WordPress.com
Get started