Rafiki, Kila mmoja wetu ameshawahi kupata adhabu ya muda, muda huwa unatuwajibisha bila kujali mtu wa aina yoyote ile. Huwa mara nyingi tunapopanga kufanya kitu sasa tunapata hisia za kuahirisha na kusema baadaye tutafanya. Lakini ukweli ni kwamba baadaye inakuja kutuadhibu vibaya sana, kile tunachopanga tunashindwa kukifanya kwa sababu mambo huwa yanaingiliana tena. Kuna muda …
Jinsi Ya Kupata Ushindi Kwenye Kile Unachotaka
Mpendwa rafiki, Natumaini unapoamka asubuhi tu salama kabla hujaenda kwenye shughuli zako huwezi ukasema leo ninakwenda kutafuta kushindwa, bali utasema leo nakwenda kutafuta ushindi. Kumbe basi, kadiri ya kila mtu huwa anatafuta ushindi ulipo. Iko njia rahisi sana ya wewe kupata ushindi kwenye kile unachotaka, tunakosa ushindi kwenye kile tunachotaka kwa kukosa njia sahihi ya …
Continue reading "Jinsi Ya Kupata Ushindi Kwenye Kile Unachotaka"
Badilisha Kwanza Tabia Zako Ndiyo Utaweza Kufanikiwa
Mpendwa rafiki, Hakuna mafanikio ya kitajiri bila kuwa na tabia za kitajiri. Usitegemee uendelee kuwa na tabia za kimasikini halafu uwe tajiri. Kama tunavyojua mwanga na giza ni vitu viwili ambavyo havikai sehemu moja. Dawa ya giza ni mwanga, hivyo giza haliwezi kukaa na mwanga sehemu moja vivyo hivyo tabia za kimasikini na kitajitiri ni …
Continue reading "Badilisha Kwanza Tabia Zako Ndiyo Utaweza Kufanikiwa"
Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kitakachokupa Mafanikio Makubwa
Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda mafanikio katika maisha yake. Ambaye hapendi mafanikio basi huenda hayuko katika sayari hii ya dunia. Kila siku tunaweka juhudi za kuwa bora katika maisha yetu ili tuweze kuwa na mafanikio kwenye kila eneo la maisha yetu. Tunapambana usiku na mchana kutafuta mafanikio, kutafuta ubora, tunaenda semina, tuko katika program maalumu …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kitakachokupa Mafanikio Makubwa"
Huyu Ndiye Mtu Anayekufuatilia Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Huwa tunaona kama vile hakuna mtu anayetufuatilia katika maisha yetu. Muda mwingine tunafanya kama vile hakuna anayetujua , hakuna anayetufuatilia katika maisha yetu. Kumbe bila kujijua kuna mtu anayetufuatilia mtu wa kwanza anakufuatilia ni wewe mwenyewe. Wewe mwenyewe unajifuatilia na unajua kabisa kama unakosea au hukosei hata kama unafanya kwa siri. Ukisema uongo …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Anayekufuatilia Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako"
Hiki Ndiyo Cheti Kikuu Kuliko Vyote Duniani
Mpendwa rafiki yangu, Huwa sisi binadamu tunapenda pale tunaposoma, kuwekeza, kufunga ndoa, kufanya kitu fulani tupewe cheti kama cha uthibitisho fulani. Ndiyo maana ukiwa na soma mafunzo yoyote unatamani sana umalize na upewe cheti chako mapema na hata ukienda kuomba kazi unaonesha cheti cha kuthibitisha kuwa wewe umehitimu mafunzo fulani. Tumekuwa ni watu wa kutafuta …
Continue reading "Hiki Ndiyo Cheti Kikuu Kuliko Vyote Duniani"
Kama Unataka Kiasi Kikubwa Cha Fedha, Badili Kwanza Kitu Hiki
Rafiki, Mara nyingi huwa tunapata kiasi kile kile cha fedha kwa sababu kuu moja. Hatujaziandaa akili zetu kupata kiwango kikubwa cha fedha ndiyo maana unaweza kumuona mtu akipata kiwango kikubwa cha fedha kuliko akili yake ilivyozoea atafuta namna ya kukiondoa abaki katika hali yake. Unatakiwa kuseti kiwango kikubwa cha fedha kwenye akili yako hata kama …
Continue reading "Kama Unataka Kiasi Kikubwa Cha Fedha, Badili Kwanza Kitu Hiki"
Hawa Ndiyo Misukule Ya Kiteknolojia
Rafiki yangu, Kadiri dunia inavyokuwa kwa kasi, ndivyo teknolojia inaongezeka na misukule wa mitandao wanaongezeka. Watu katika zama hizi wamekuwa bize a simu kutembelea mitandao ya kijamii, hawa tunawaita misukule wa kiteknolojia yaani cyber zombies. Wameshikwa na mitandao ya kijamii kiasi kwamba wamekuwa misukule yaani badala wao ndiyo waiendeshe mitandao imekuwa kinyume sasa, mitandao ndiyo …
Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Kile Unachotaka
Je unataka kufanikiwa kwenye kile unachotaka? Tunashindwa kufanikiwa kwenye kile tunachotaka kwa sababu kuu moja hatufikirii kile tunachotaka muda wote. Tumepewa akili za aina mbili, ya kwanza ni yenye utambuzi yaani conscious mind hii ni ile inayohusika na kufikiri kwa kina. Na nyingine ni ile akili ambayo haina utambuzi, yaani subconscious mind hii huwa inakusanya …
Continue reading "Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Kile Unachotaka"
Punguza Matumizi Haya Ya Kifedha Ili Uweze Kufanikiwa Kiuchumi
Mpendwa rafiki yangu, Bado suala la nidhamu ya fedha imekuwa ni tatizo miongoni mwa watu wengi. Hata uwe mtu unayepata kipato kikubwa kiasi gani na ukawa unatumia zaidi ya kile unachopata bado wewe ni masikini mkubwa. Watu wamekuwa ni watu wa kutumia kile walichopata mpaka kiishe kwanza. Hakuna falsafa mbaya kwenye matumizi ya fedha kama …
Continue reading "Punguza Matumizi Haya Ya Kifedha Ili Uweze Kufanikiwa Kiuchumi"