Rafiki, Huwa tunataka kufanya jambo tunajiuliza tuanzie wapi? Tuna kuwa na maswali mengi sana juu yetu tukitaka kuanza kitu fulani. Wengine huwa wanakabiliwa na hofu ya kuogopa kuanza kitu fulani na kuona je watu watanichukuliaje? Neno kubwa ambalo napenda kukuambia kama ni mtu unayejishauri ni wapi utaanzia mimi nakuambia anzia hapo hapo ulipo. Hicho ulichonacho …
Continue reading "Hii Ndiyo Sehemu Ya Kuanzia Kama Hujui Wapi Kwa Kuanzia"