Mpendwa rafiki yangu, Kwa asili hakuna kitu kibaya au kizuri. Ubaya au uzuri wa jambo unaletwa na tafsiri zetu juu ya kile kitu. hivyo basi, wako ambao wanaona ndoa ni kitu kizuri na wengine wanafikiria kinyume na hivyo. Kila mtu ana mtazamo wake na kila mtu yuko sahihi kadiri ya kile anachokiamini yeye. Ukikaa na …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Wanandoa Wengi Wanaoga Kuambiana"