Tabia Ya Kuiepuka Kufanya Katika Mahusiano Ya Ndoa

Mpendwa rafiki yangu, Ni rahisi sana kumfundisha mtu kazi lakini siyo kumfundisha mtu tabia. Ni kweli watu wanapounganika na kuishi kuwa kitu kimoja ina hitaji kazi. Kwa sababu kila mtu ana tabia zake za toke alivyo zaliwa ndiyo maana pale wanandoa wanapokuwa wanapambana kila mmoja kumrekebisha wenzako na kuona kuwa yeye ndiyo yupo sahihi kadiri …

Epuka Kufanya Kiapo Isipokuwa Sehemu Hii

Rafiki, Tumekuwa ni watu wa kuahidi vile tunavyoweza sisi wenyewe. Mara nyingine tunaahidi hata tukiwa na hisia halafu baadaye tunakuja kujilaumu kwa kile tulichofanya sisi wenyewe. Tunaalikwa kuwa huru, usiahidi kama uko kwenye hisia, na usiahidi kama huwezi kutekeleza kile unachoahidi. Jipe muda wa kufikiria kabla hata hujaahidi. Mtu akikuambia ahidi, usikubali kuahidi pale pale, …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakikosekani katika Ratiba Ya Watu Wanaoishi Siku Zao Kitajiri

Mpendwa rafiki yangu, Kuna watu huwa wanazianza na kuziishi siku zao Kimasikini. Kuanza siku kwa kutumikia wengine bila kujitumikia wewe mwenyewe huo ni umasikini. Unaanza siku kwa kuchukua simu bila hata kusali na kutembelea mitandao ya kijamii kutaka kujua nini kimejiri, huu ni umasikini na utumwa. Unatakiwa kuishi siku yako kitajiri, unaamka na kuanza siku …

Hii Ndiyo Sifa Ya Watu Wengi Waliofanikiwa

Rafiki, Watu wengi waliofanikiwa huwa  wanakuwa na sifa moja ambayo inafanana. Mtu aliyefanikiwa utamjua tu hata kwa kumwangalia kwa macho. Mtu aliyefanikiwa huwa hajioneshi bali mafanikio yake mwenyewe ndiyo yanajionesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani. Watu waliofanikiwa wanasifa moja ambayo ni ya unyenyekevu. Watu waliofanikiwa wanakuwa wana unyenyekevu kweli ukilinganisha hata na wale …

Hii Ndiyo Fedha Ambayo Huruhusiwi Kuitumia

Mpendwa rafiki yangu, Kila mwanadamu ambaye ana akili timamu hawezi kubisha kuwa fedha siyo muhimu kwenye maisha yake. Watu wengi wanafanya kazi lakini wamekuwa ni watu wa madeni makubwa.  Mtu anakuwa hana anachopata mwisho wa mwezi fedha yote inaenda kwenye madeni. Madeni ni mabaya yanawafanya watu kuwa watumwa. Fedha ambayo huruhusiwi kuitumia ni ile ambayo …

Heshima Mbili Muhimu Za Kujijengea Eneo La Kazi

Kila kazi ina taratibu zake lakini tukija kwenye matokeo pia kila kazi ina matokeo yake kadiri ya utendaji wake wa kazi. Kazi ndiyo rafiki yetu mzuri, Kwani anatupatia kile tunachotaka katika maisha yetu. Tukifanya kazi tunazalisha thamani na watu wanakwenda kutulipa kadiri ya thamani tunayoitoa eneo la kazi. Kazi ndiyo inatuletea heshima na utu wetu. …

Hekima Ya Kipekee Sana Unayopaswa Kuwa Nayo Kwenye Karne Ya 21

Mpendwa rafiki yangu, Kwenye dunia ya leo kila mmoja anajua kila kitu. ujio wa mitandao ya kijamii umewafanya watu kuwa mafundi wa kila kitu hata kama siyo fundi wa kitu hiko atataka achangie kitu na kutoa maoni yake juu ya kile kitu. Huwezi kujifunza kitu kutoka kwa wengine kama wewe ni mtu wa kujifanya unajua …

Usitegemee Kufanikiwa Kwa Fedha Hii

Rafiki, Kazi ni shughuli yoyote halali inayompatia mtu kipato. Na tukirudi katika msingi wa fedha tunaambiwa kuwa fedha ni zao la thamani hivyo kama huna unachotoa, basi ni wazi kwamba hutoweza kupata kitu. Kumbe basi, fedha ni kutoa na kupokea. Usitegemee utafanikiwa kifedha kwa njia ya dhuluma. Fedha ya dhuluma huwa haikai itaondoka kwako kama …

Hiki Ndiyo Kiwango Sahihi Cha Fedha Unachopaswa Kupata Kila Mwezi

Rafiki, Fedha ni muhimu katika maisha yetu hilo halina ubishi kabisa. Karibu kila kitu kinahitaji fedha ili mambo mengine yaende katika maisha yetu bila fedha mambo yanakuwa ni magumu lakini tukiwa na fedha mambo mengi yanawezekana. Kileambacho tunakipata kila mwisho wa mwezi, kila siku, wiki ambacho ni kipato tunachopata kutoka katika kazi au biashara. Ni …

Hiki Ndiyo Kitu Cha Pekee Unachoweza Kukipata Kwa Mtu Yeyote Na Kunufaika Nacho

Mpendwa rafiki yangu, Wewe ni mtu wa kipekee sana hapa duniani. Tokea dunia iumbwe na Mungu hakujawahi kutokea mtu kama wewe. Wewe ni zawadi ya dunia , una ubora ndani yako, umezaliwa kwa ajili ya mtu fulani na nafasi ni nzuri sana kwenye kujaza hii dunia. Toa thamani iliyoko ndani yako, wewe ni zawadi kwako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started