Kama una fedha nyingi halafu umeziweka benki basi utakuwa hujitendei haki. Unapaswa kuwa na akaunti ya mfuko wa uwekezaji kwa hapa Tanzania tunao mfuko wenye dhamana hiyo unaojulikana kama UTT AMIS. Kuna faida ya kuweka fedha zako kwenye mfuko wa UTT AMIS kuliko kuweka fedha benki. Kwa nini ? Kwa sababu, benki fedha haizalishi zaidi …
Continue reading "Hii Ndiyo Sehemu Pekee Ya Kupaki Fedha Zako"