Watu ambao wako kwenye ndoa huwa wanakutana na upinzani mkubwa hususani pale mmoja wa ndoa anatapotaka kuthubutu kitu au anapokuwa na ndoto kubwa. Kikawaida jamii zetu hawapendi kuona mtu akiteseka kwa mfano, ukimwambia mtu kwamba unataka kwenda kufungua biashara na yeye hafanyi biashara atakuambia biashara ni hatari, usijitese. Na watakuambia hivyo ili mradi tu wasikuone …
Hiki Ndicho Kinachokupelekea Kuwa Na Laana
Kinachokupelekea wewe kupata laana ni tabia zako. Unapata laana kwa ajili ya tabia zako mwenyewe. Kwa sababu unatengeneza tabia kisha na tabia zinakutengeneza. Kwa mfano, unatengeneza tabia za uvivu kwenye maisha yako, hujitumi halafu baadaye hufanikiwi unasema unalaana, huna bahati kumbe chanzo kikuu ni tabia ulizojijengea. Kwa mfano, wazazi wengi huwa wanaangalia tabia za watoto …
Continue reading "Hiki Ndicho Kinachokupelekea Kuwa Na Laana"
Huu Ndiyo Umuhimu wa kujifunza Historia
Uko umuhimu mkubwa sana wa kujifunza historia kwa sababu kila kitu kinachotokea duniani kwa sasa ni marudio ya yale ambayo yamewahi kutokea huko nyuma. HAKUNA kitu ambacho ni kipya kabisa bali mambo ni yale yale yanatokea kwa njia ambazo ni tofauti. Ukijifunza historia, utaona kwa nini mambo yanatokea na pia utaweza kujua hatua sahihi za …
Vitu Vingi Ambavyo Watu Wamezoea Kufanya Siyo Sahihi
Rafiki yangu, Kuna vitu kwenye maisha huwa vinaonekana ni vya kawaida, kwamba kila mtu anajua ndivyo inavyopaswa kuwa, lakini unapochunguza vizuri kwa ndani, unagundua siyo vya kawaida kama wengi wanavyofikiri. Vitu vingi ambavyo watu wamezoea kufanya siyo sahihi. Ni rahisi kukubali kufanya kitu kwa sababu kila mtu anafanya na kuona kwa kuwa wengi wanafanya basi …
Continue reading "Vitu Vingi Ambavyo Watu Wamezoea Kufanya Siyo Sahihi"
Unaamini Kama Ninavyoamini Mimi?
Ukitaka kujua watu hawana imani na kile wanachotaka kwenye maisha yao angalia imani yao kwenye utendaji na uzungumzaji. Kifupi watu wameyafunga maisha yao kwenye gereza la imani. Watu hawana imani thabiti, wanaamini midomoni ila hawaamini kwenye vitendo. Unakuta mtu ana ndoto kubwa lakini hana imani kama inawezekana. Asikuambie mtu ukiwa na imani huwezi kushindwa kitu …
Kazana Na Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako
Kazana na kile unachotaka. Yape talaka yale yote ambayo hayakupi kile unachotaka. Zama ndani kabisa kwenye kile unachotaka, fanya kwa ubora wa hali juu kuliko mtu mwingine yeyote yule. Iko hivi rafiki yangu, kwenye maisha, tunapata kile ambacho tunapigania. Mfano mzuri jiangalie wewe mwenyewe, unapata kile ambacho wewe mwenyewe unakipigania sana na unavikosa vile ambavyo …
Adui Tunayepambana Naye Ni Mmoja Tu
Unapoamka asubuhi amka na lengo la kwenda kushirikiana na wenzako, shirikiana na wenzako kama timu kwa sababu adui tunayepambana naye ni mmoja tu. Adui huyo ni umasikini. Kila mtu anatakiwa kupambana kweli na adui huyu wa umasikini. Usipofanya kazi vizuri, ni rahisi kumkaribisha adui huyu tunayepambana naye ambaye ni umasikini. Maisha ni vita, na adui …
Kutoa Hela Kuna Uma Kweli, Mfanye Mteja wako Aondoke Akiwa Anajisikia Raha
Kwa saikolojia ya binadamu hakuna kitu kinauma kama kutoa hela. Kwa sababu mtu amepata hela zake kwa shida halafu akifikiria kuzitoa anapata uchungu kweli. Watu hawapendi kujitenganisha na hela zao. Unaponunua kitu au kutoa fedha maana yake unakuwa umejitenganisha na fedha zako hazirudi tena. Kama kutoa hela kuna uma, unatakiwa umfanye mteja wako aondoke akiwa …
Continue reading "Kutoa Hela Kuna Uma Kweli, Mfanye Mteja wako Aondoke Akiwa Anajisikia Raha"
Utajiri Huwa Unaanza Kutengenezwa Sehemu Hii Hapa
Mchezo mzima wa mafanikio uko kwenye akili. Huwezi kupata kitu ambacho hujaruhusu akili yako ikipokee. Kile wanachopata watu ndicho walichotengeneza kwenye akili yao. Huwezi kupokea kitu ambacho hujakiumbwa kwenye akili yako. Mafanikio yamejengwa kwenye akili za watu. Unafikiria nini muda wote? Kile unachofikiria muda wote ndicho unachopata kwenye maisha yako. Hata kama maisha yako unapitia …
Continue reading "Utajiri Huwa Unaanza Kutengenezwa Sehemu Hii Hapa"
Waepuke Marafiki Hawa Wawili Na Kuwa Na Rafiki Huyu Tu
Urafiki ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu. Na zana ya kujenga na kuimarisha mahusiano ni mawasiliano. Mwanafalsafa Aristotle enzi za uhai wake alisisitiza sana umuhimu wa urafiki kupitia maandiko ya kifalsafa. Na alifanikiwa kugawa urafiki kwenye ngazi tatu. Ngazi ya kwanza ni urafiki wa faida au urafiki wa nipe nikupe.Huu ni urafiki ambao unajengeka …
Continue reading "Waepuke Marafiki Hawa Wawili Na Kuwa Na Rafiki Huyu Tu"