Ni changamoto. Niambie ni jambo gani ambalo utasema ulianze halafu usikutane na changamoto njiani? Kila kitu kina changamoto ndiyo maana huwa nashangaa mtu anayeacha kufanya jambo lake kwa sababu ya changamoto. Ukiingia kwenye biashara kuna changamoto zake na changamoto ni kitu cha uhakika kuliko hata faida. Ukiwa kwenye ajira nako pia kuna changamoto zake. Kifupi …
Continue reading "Kitu Cha Uhakika Kupata Pale Unapothubutu Kufanya Jambo Lolote Lile"