Mama Theresa enzi za uhai wake aliwahi kunukuliwa akisema, siyo kila mmoja anaweza kufanya mambo makubwa. Lakini, tunaweza kufanya vitu vidogo kwa upendo mkubwa. Kama umeshindwa kufanya vitu vikubwa basi fanya vitu vidogo kwa upendo mkubwa. Mtu yeyote anayefanya kitu kwa upendo mkubwa atajikuta anafanya mambo makubwa. Kwa sababu huwezi kufanya mambo makubwa kama umeshindwa …
Continue reading "Siyo Kila Mmoja Wetu Anaweza Kufanya Kitu Hiki"