Iko hivi rafiki yangu,Kama unataka watu wasijue mambo yako binafsi usiwaambie. Anayeanika mambo yako hadharani ni wewe mwenyewe. Usimlaumu mtu mwingine, kama ni mambo yako binafsi sasa watu wa nje wamejuaje? Kumbuka, ukiwaambia watu mambo yako ambayo hupendi wayajue jua watayajua tu. Unapokuta watu wanajua mambo yako mengi ya ndani basi ujue wewe ndiyo tatizo. …
Continue reading "Kuwa Makini Na Mtu Huyu Anayeanika Mambo Yako Hadharani"