Wakiwa katika hali ya uchovu. Watu wakiwa wamechoka hawatakupa umakini wao bali wataigiza tu kama vile wanakusikiliza ili umalize. Kutumia muda wa mtu nje ya ratiba. Kwa mfano, muda wa kutoka wa wafanyakazi halafu unaenda kuomba kuongea na wafanyakazi hao kwa ajili ya kuwasilisha jambo fulani. Hapa hutaweza kuvuna kitu zaidi ya kupoteza muda wako …
Continue reading "Usifanye Kikao Na Watu Wakiwa Katika Hali Hizi"