Rafiki yangu nikupendaye, Uko kwenye biashara kwa lengo kutoa thamani kubwa kwa wengine kupitia kile unachofanya. Na uhai wa biashara yako ni MAUZO. Kwa sababu mauzo ndiyo yanayoleta fedha kwenye biashara na fedha ndiyo damu ya biashara bila fedha biashara haiwezi kwenda mbele. Chochote ambacho hakikui huwa kinakufa. Hivyo, kama kile unachofanya kwenye kazi au …
Ni Heshima Gani Unaipata Kwenye Umasikini?
Kifupi, hakuna heshima yoyote kwenye umasikini zaidi ya kupata fedhea tu. Umasikini ni adui yetu, tunapaswa kupambana naye kila siku na usikubali umasikini ukupige wakati una nguvu za kufanya kazi. Na kumbuka, umasikini huwa hauanzii mfukoni, unaanzia kwenye akili. Hakuna mtu masikini duniani ila kuna akili masikini duniani. Ukitaka uheshimike na kupata heshima yako unayostahili …
Continue reading "Ni Heshima Gani Unaipata Kwenye Umasikini?"
Njia Ya Uhakika Ya KufikiaUbilionea
Kama unataka kuwa na uhuru wa kifedha na kufikia VIWANGO vya juu kabisa vya ubilionea basi unapaswa kufanya biashara. Kwa sababu biashara ndiyo njia ya uhakika ya kufikia ubilionea. Ila biashara siyo mchezo rahisi, ni mgumu lakini una ushindi mzuri. Kama unataka kuwa na maisha ya kawaida, endelea kufanya vitu vya kawaida ila kama unataka …
Bahati Haiji Kwa Namna Hii
Bahati haiji ukiwa umeweka mikono mifukoni. Bahati inakuja pale unapokuwa umekaa kwenye mchakato wa kuyafanyia kazi kitu fulani. Hakuna mbadala wa kazi. Lazima ufanye kazi ili uweze kukutana na bahati yako.Bahati inatengenezwa, je, umekaa katika mchakato wa kutengeneza bahati yako? Bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi. Kumbe basi, ili ukutane na bahati, lazima uwe …
Usiruhusu Vitu Hivi Kuwa Ndani Yako
Kama binadamu huwa tunapitia mengi kwenye maisha yetu ya kila siku. Kuna watu watakuchukia na kutamani uanguke. Lakini hupaswi kuwachukia na kuwawekea vinyongo. Bali, wasamehe na watakie mema. Ili usiruhusu chuki au hasira kuwa ndani yako.Chuki na hasira ikikaa ndani yako utakua na maisha shida.Maisha yako ni mafupi sana kuhangaika na mambo yasiyokuwa na maana. …
Maeneo Mawili Ambayo Kazi Yenye Nguvu Hugusa
Kazi yenye nguvu hugusa pande mbili kubwa. Pale unapofanya kazi yoyote yenye nguvu, inayoleta mapinduzi makubwa, utagusa pande kuu mbili.Upande wa kwanza ni wale watakaokupenda sana kwa sababu umekuwa mkombozi wao kupitia kazi yako. Na upande wa pili ni wale watakaokuchukia sana kwa sababu umevuruga mazoea waliyokuwa nayo. Ili upendwe na baadhi, lazima pia uchukiwe …
Continue reading "Maeneo Mawili Ambayo Kazi Yenye Nguvu Hugusa"
Chochote Ambacho Hakipimwi
Huwa hakikui. Watoto wadogo huwa wana kliniki wanapima uzito na maendeleo mengine ya ukuaji. Wanafanya hivyo ili kujua maendeleo ya watoto kwa sababu bila KUPIMA huwezi kujua kama kitu kinakua au hakikui. Hii ina maana gani kwetu? Unatakiwa kujifanyia tathmini kila siku, kila wiki na mwezi ili ujue maendeleo yako. Kila unachofanya hakikisha unakipima, usiendelee …
Huwezi Kumzuia Mtu Anayetaka Kujiua Njia rahisi ya kuishi muda mrefu ni kuwa mwangalifu kwenye kila eneo la maisha yako. Lakini, kuna watu wanachagua kujiua wao wenyewe. Unaweza kupambana kuwasaidia lakini wao hawasikii, hivyo unamwacha afe. Iko hivi, kwenye maisha unajua kabisa kuna vitu ukifanya vinakupelekea kifo, na iko wazi kabisa lakini watu wengine hata …
Kabla Hujaendelea Na Safari
Pata picha umeenda stendi na kupanda gari halafu unamuuliza swali dereva, hii gari inaenda wapi?Dereva anakujibu sijui hata inaenda wapi. Hatua ya kwanza utakayochukua kabla ya mengine ni kushuka kwanza ili usije ukapotea zaidi. Hii ina maana gani? Kama bado hujajua kule unakokwenda ni bora usiendelee na safari. Kwa sababu utaendelea kupotea zaidi. Usiongeze mwendo …
Njia Ya Kivivu Kupata Wateja
Biashara yoyote ambayo haina wateja ina hatari ya kuanguka.Kwa sababu wateja ndiyo wanaoleta fedha kwenye biashara na fedha ndiyo damu ya biashara, pata picha wewe kama binadamu mwili wako hauna damu moyo unaweza kufanya kazi? Unapata majibu kwamba mauzo ndiyo moyo wa biashara. Hivyo, kwa chochote unachofanya kwenye biashara jiulize kinachangiaje kuongeza MAUZO?Ziko nyingi za …