Hivi Ndivyo unavyokuwa Mbinafsi Kwa Watoto Wako

Utamaduni tulioukuta katika jamii zetu ndiyo unaofanya watu waendelee kuishi maisha ya umasikini.Ulishawahi kumuona watu wa jamii ya kihindi wanaajiriwa? Zaidi ya wao kuajiri? Ulishawahi kuona wakipambana kutafuta kazi huku wakitembea na bahasha? Kuajiriwa siyo kitu kibaya ni kitu kizuri kwa sababu kuna mengi ya kujifunza na kujenga mtandao na watu wengi. Unawasomesha watoto, halafu …

Damu Na Jasho

Kuna vitu viwili kwenye maisha yako, damu na jasho.Wakati wa mazoezi ndiyo unatakiwa kutokwa na jaso jingi ili usitokwe na damu nyingi wakati wa vita.Kadiri unavyojituma kujiandaa na maandilizi ya kitu fulani kabla ya kutokea ndivyo unavyokuwa bora.Una machaguo mawili, ujitume sasa hivi ili baadaye usiteseke au usijitume sasa hivi ili baadaye uwe na maisha …

Umezaliwa Kuishi

Kitu kimoja muhimu unachopaswa kujua ni kwamba binadamu UMEZALIWA KUISHI. Na siyo kujiandaa kuishi. Duniani hujaja kujiandaa bali umekuja kuishi. Hivyo unapaswa kuishi maisha yako. Hupaswi kusema mpaka nikiwa na kitu fulani ndiyo nitaishi, ila unatakiwa kuishi.Usisubiri mpaka mambo yawe sawa ndiyo uishi bali ishi kwa kile ulichonacho tu. Watu wengi wanapoteza muda wao mwingi …

Biashara Haina Huruma

Watu wengi wanafanya biashara kwa mazoea na matokeo yake mazoea yanawapiga. Kwenye biashara, hakuna mtu ambaye yuko juu ya biashara. Hivyo kila mtu anapaswa kuiheshimu biashara hata kama ni yako. Kutumia fedha za biashara kwa matumizi binafsi. Baadaye biashara inakuja kufa kwa sababu ya kutawanya nguvu. Ukiwa na biashara unapaswa kutenganisha kati ya matumizi binafsi …

Wateja Wengi Hawapendi Hiki Kitu

Wateja wanapenda kununua na siyo kuuziwa. Hii ina maana gani? Kuuziwa ni pale ambapo unataka kumuuzia kitu mteja bila kumuonesha thamani. Ni pale unapokuwa na kitu unamuomba mteja akuungishe. Tunasahau kwamba wateja hawanunui kwa kukuonea huruma, bali wateja wananunua kwa sababu zao binafsi. Kwani wewe vitu ulivyonunua jana ulinunua kwa sababu ya mteja au kwa …

Ukitaka Kujua Kama Unaenda Mbele Au Unarudi Nyuma Kifedha

Maisha ni namba.Chochote ambacho hakipimwi hakikui. Na maisha ambayo hayatathiminiwi ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Ni kazi kujua kama unaenda mbele au unarudi nyuma kifedha kama hujipimi. Ili uweze kujua kama unaenda mbele au unarudi nyuma kifedha unatakiwa kujipima kinamna hii. Moja andika kila fedha unayopata kila siku, halafu mwisho wa siku, wiki na …

Huhitaji Show off

Kama unafanya kazi, kazi yako itaonekana. Huhitaji Show off ya kuwaonesha watu kwamba unafanya kazi. Matokeo huwa hayadanganyi, pale unapokuwa unafanya kazi, itaonekana tu wala huhitaji kuwaonesha watu matokeo bali matokeo yanajionesha yenyewe. Ukifanya kitu chochote kile kwa uaminifu matokeo yataonekana. Asili huwa haidanganyi. Kama unakaa kwenye mchakato kweli, wala usiwe na wasiwasi matokeo yataonekana.Fanya …

Ukiacha Vitu Hivi Utafanikiwa

Kila mmoja wetu kwenye maisha ni mshindi kama akiweza kuacha kufanya vitu vifuatavyo; Moja uvivu, Kama ukiacha uvivu, ukiwa mtu wa kujituma kufanikiwa kwako ni suala la muda tu. Unajua unapaswa kufanya nini, hivyo fanya ACHA uvivu. Uvivu ndiyo unawafanya watu wengi kushindwa kufanikiwa kwenye jambo lolote lile. Binadamu ni kwa asili ni wavivu, hivyo …

Iko Siku Utakuja Kunyang’anywa Vitu Hivi, Chukua Tahadhari Mapema

Vitu vyote ulivyonavyo, kuanzia mali, watoto, mke, mume, mama, baba na vingine vyote umeazimwa au kukopeshwa kwa muda. Asili imekupa kwa muda, inakuambia tu tumia lakini siku ikivihitaji itavichukua. Kwa mfano, ukiazima kitu cha mtu, unakitumia tu lakini unajua siyo chako na hata ukiambiwa urudishe haitakuuma kwa sababu unajua siyo chako. Kwa mtazamo huo hapo …

Wauzie Watu Kitu Hiki

Wauzie watu kile ambacho watu tayari wanataka. Usijisumbue kuwauzia watu kitu ambacho hawakitaki. Huko ni kupingana na asili. Ni kupingana na soko, mara zote soko huwa halina huruma hivyo linampiga yeyote anayekwenda kinyume na soko. Kwa mfano, ulaji wa vitoweo, huhitaji nguvu KUBWA kumshawishi mtu kula kuku.Lakini, Unahitaji nguvu KUBWA kumshawishi mtu kula kware. Hapo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started