Mpendwa muuzaji, Kila mtu ni muuzaji, iwe umejiajiri au umeajiriwa basi wewe ni muuzaji kwa sababu kupitia mauzo ndiyo yanafanya maisha yako yaweze kwenda. Kwenye mauzo kuna ushindi wa aina mbili, Moja, kuuza.Kwenye kuuza hapa ni pale mteja anapotoa hela yake mfukoni na kununua kile unachouza. Mbili, kuuziwa. Kuuziwa ni pale mteja anapokupa sababu ya …
Ulichonacho Kinatosha Kama…
Huwa tunadharau vile tulivyonavyo na kuthamini vile ambavyo hatuna. Lakini, tunapaswa kuthamini vile tulivyonavyo kwanza kwa sababu ndiyo vitu muhimu kwetu ndiyo maana tukaanza kuwa navyo. Kama ingekuwa siyo muhimu basi usingekuwa navyo. Ulichonacho kinatosha kama ukifikiria vya kutosha. Fikiria una nini na je ulishafikiria vya kutosha juu ya kile ulichonacho? Fikiria vya kutosha kwa …
Hii Ndiyo Sababu Kwa Nini Watu Wengi Huwa Hawatimizi Ahadi Zao Za Kifedha
Sababu moja kuu ni kwa sababu kutoa hela kunauma Mtu anaweka ahadi lakini inapofika wakati wa kutoa anakuwa mgumu, atakubali kwa furaha kabisa lakini INAPOKUJA kwenye utekelezaji anakupiga chenga kwa sababu kutoa hela kunauma. Hata watu wanapotaka kununua kitu kwa mfano wateja, wanakuwa na vipingamizi mbalimbali kwa sababu ya kutaka kukwepa kutoa fedha yake. Siyo …
Continue reading "Hii Ndiyo Sababu Kwa Nini Watu Wengi Huwa Hawatimizi Ahadi Zao Za Kifedha"
Mabadiliko Hayaji Kwa Njia Hii
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba mabadiliko ni kitu kigumu kwa mtu yeyote yule. Yule ambaye anataka kubadilika mara zote huwa anabadilika. Ila yule ambaye hataki mabadiliko, manager huwa yanamwacha. Kama unataka mabadiliko kwenye eneo lolote lile kuwa mtu wa kufanya na siyo kutamani. Usiwe mtu wa kutamani kuwa mtu fulani badala yake badilika na kuwa mtu …
Ukiona Unauliza Bei Ya Vitu, Jua Kuna Kitu Hiki Kwako
J.P Morgan aliwahi kunukuliwa akisema, kama unauliza gharama ya kitu basi jua huwezi kukimudu kitu hicho. Hii ina maana gani kwetu, kama unauliza bei ya vitu ukienda sehemu basi jua kiwango chako cha fedha bado. Unatakiwa kuwa na fedha nyingi kiasi kwamba wewe huulizi bei ya kitu bali unanunua tu. Mtu mwenye fedha nyingi haulizi …
Continue reading "Ukiona Unauliza Bei Ya Vitu, Jua Kuna Kitu Hiki Kwako"
Wimbo Ambao Unapaswa Kuuimba Kila Siku
Kwenye maisha kuwa na shukrani kwa kila kitu na utakua mtu wa furaha.Kwa kukosa kuwa mtu wa shukrani, utaona maisha ni magumu sana. Kuwa na shukrani kwa watu wengine ambao wanafanya maisha yako yaweze kwenda. Usiwachukulie watu poa, wewe siyo kisiwa, wathamini na washukuru kwa namna ambavyo wamegusa maisha yako. Kuwa na shukrani ya kiimani, …
Jambo Muhimu La Kujifunza Kutoka Kwa Simba
Kama tunavyojua Simba ndiyo mfalme wa mwituni. Na ufalme wake huu hautokani na yeye kuwa mrefu sana, mzuri sana bali ni mtazamo alionao. Simba ana mtazamo tofauti na wanyama wengine. Ila kikubwa ambacho nimependa kushirikisha kutoka kwa Simba ni Simba anawinda ili apate kitoweo. Hapa unajifunza nini, na wewe fanya mpaka upate matokeo unayoyataka. Hatua …
Continue reading "Jambo Muhimu La Kujifunza Kutoka Kwa Simba"
Inafanya Kazi Vizuri Sana
Maarifa yoyote yale unayopata yanafanya kazi kama ukiyafanyia kazi. Kumbe basi, inafanya kama kazi kama ukiyafanyia kazi.Wengi wanajifunza, wanasoma vitabu wanaishia kuhamasika lakini hawachukui hatua. Kama huchukui hatua huwezi kupata matokeo. Ndoto au chochote kile unachotaka kwenye maisha yako, kifanyie kazi. Usiseme haiwezekani wakati hujaifanyia kazi.Usiseme umeshindwa wakati umejaribu mara moja. Jaribu zaidi, hakuna kitu …
Usiwaangushe Wengine
Chochote kile unachofanya jua hufanyi kwa sababu yako tu bali unafanya kwa sababu ya wengine pia. Sababu ya kufanya isiwe kwa sababu unapata pesa tu kwa sababu unafanya hivyo ni wajibu wako kufanya na wengine wanakutegemea wewe ili maisha yao yaendelee.Chochote kile unachofanya ni huduma kwa wengine. Ukianzisha huduma usisitishe kwa sababu kuna watu wanakutegemea …
Ujumbe Kwa Wauzaji Wote
Katika mauzo, watu wengi wanakuwa wanawachukia watu wa mauzo kwa sababu ya tabia yao ya kuongea sana. Hivyo basi, wewe kama mtu wa mauzo, punguza kuongea sana, na nenda moja kwa moja kwenye hoja, usipoteze muda kwenye maelezo yasiyokuwa na tija. Pili, unapoongea na mteja ongelea zaidi mambo ambayo mteja anapenda. Hapa unatakiwa kujali maslahi …