Kwenye maisha utakutana na watu ambao wanaamini tofauti na unavyoamini wewe. Unaweza kuona wewe upo sahihi zaidi yao na hata kubishana nao, lakini hilo halitakusaidia. Maana watu wakishaamini kitu, hata uwape ushahidi gani, bado hawatabadili imani zao kirahisi. Hivyo basi, ili kuweza kuelewana na watu hawa na kushirikiana nao, jiweke kwenye upande wao. Chagua kutetea …
Kama Biashara Ina Watu Hawa Itakua
Biashara huwa haishindwi kwa sababu ya bidhaa au huduma inayotoa bali huwa inashindwa kwa sababu ya watu ambao inao.. Kama biashara ina watu sahihi itakua. Lakini kama haina watu sahihi itakufa. Chagua watu sahihi wa kufanya nao kazi. Biashara inajengwa na watu walio ndani ya biashara hiyo, kama watu ni sahihi itaendeshwa vizuri na kama …
Kitu Ambacho Watu Wanapenda Kuambiwa
Rafiki yangu nikupendaye, Kama unafanya kampeni ya kugombania nafasi ya kitu fulani labda unataka ubunge, udiwani au uraisi, halafu unasimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia, nyie hamjafanikiwa kwenye maisha yenu kwa sababu hizi tatu,Moja, uzembe,Mbili, uvivu na tatu,Ujinga. Unafikiri mtu ambaye anataka nafasi atapata? Watu ukiwaambia ukweli wala hawakupi kura yako lakini ukiwadanganya watakupa kura …
Raisi Amepita Na Gari La Kifahari
Ukimuona raisi amepita na gari la kifahari wala hutaumia wala kuona wivu, utachukulia tu ni hadhi yake au ana stahili kufanya hivyo kwa sababu ya nafasi yake. Lakini, ikitokea mtu ambaye mmesoma naye au mnayefahamiana amepita na gari la kifahari utashangaa ghafla wivu unaanza kukuungia. Wivu ni hali ya kujiona wewe unastahili zaidi kupata kuliko …
Sababu Namba Moja Ya Kukosa Ushawishi
Unahitaji ushawishi ili uweze kukubalika na kukubaliana na watu wengine juu ya jambo fulani.Ushawishi ndiyo unawashawishi watu wengine wakubaliane na sisi. Watu wengi wanapoteza ushawishi ni kwa sababu hawajiheshimu na kujiamini. Jiheshimu na watu watakuamini. Kwa kitendo cha kutokujiamini, watu WANASHINDWA kusimamia kile wanachotaka. Wanajikuta wakitaka kuwaridhisha wengine na hapo wanapoteza ushawishi. Ukishajikuta uko upande …
Waambie Watu Kitu Hiki
Kuna wakati unaweza kujiona kama vile dunia ina kisirani na wewe lakini ukija kuchunguza utakuja kugundua kwamba tatizo siyo dunia bali tatizo ni sisi wenyewe kwa kushindwa kukaa kwenye mchakato wa kile tunachotaka. Watu wengi wana bidhaa, wana kitu ambacho wanakiuza lakini watu hawajui kama wanauza. Wanalalamika hawauzi siyo kwamba wateja hakuna tatizo biashara haijulikani. …
Kauli Ya Uchumi Mgumu
Kauli ya uchumi mgumu haitokuja kuisha kamwe. Ndiyo wimbo ambao watu wanapenda kuimba. Watu kusema uchumi ni mgumu wala haijaanza leo, hata kama uchumi ni mzuri watu watasema uchumi mgumu. Ile ya wateja kusema hali mbaya ni kawaida kuisikia kila mara, hata mteja awe na hela, kauli pendwa kwake ni uchumi mgumu. Mtu akitaka kukutoroka …
Njia Ya Haraka Ya Kumpoteza Mteja Kwenye Biashara Yoyote Ile
Ni kuahidi halafu usitekeleze ahadi yako. Watu huwa wanakumbuka sana ahadi, hivyo unapoahidi kitu ni bora ukitimize au usiahidi kabisa.Ahidi vile ambavyo viko ndani ya uwezo wako, vile ambavyo unaweza kuvidhibiti. Chochote kile ambacho unamwahidi mteja kwenye mchakato wa mauzo, hakikisha unakitimiza. Usiahidi kitu ambacho hakipo kwenye udhibiti wako. Kuwaahidi wateja mambo mazuri ni moja …
Continue reading "Njia Ya Haraka Ya Kumpoteza Mteja Kwenye Biashara Yoyote Ile"
Ukikosa Vitu Hivi Viwili Utanyanyasika Sana
Ukivikosa vitu hivi, siyo tu utanyanyasika lakini pia hutathaminikiwa. Ni asili kabisa na kamwe huwezi kwenda kinyume na asili. Vitu ambavyo kama huna basi utaishia kuburuzwa ni;Moja, huna fedha. Fedha ni jawabu la mambo yote. Sehemu yoyote ile ukikosa fedha utadharauliwa. Tukiachana na hewa tunayovuta, kinachofuata kwa umuhimu ni fedha. Fedha ndiyo inaendesha maisha yetu, …
Continue reading "Ukikosa Vitu Hivi Viwili Utanyanyasika Sana"
Sababu Nyingi Unazojipa Ni Kwa Sababu Hii Hapa
Rafiki yangu nikupendaye, Sababu nyingi tunazojipa ni kwa sababu ya sauti za ndani. Kwa mfano, umepanga kufanya kitu fulani labda kumpigia mteja simu, sauti ya ndani inakuambia usipige simu, huenda huyo mtu atakua ana kazi kwa sasa na tunapokuwa tunaitii sauti ya ndani ya kutokufanya basi hapo tunakua tumeisha. Sauti ya ndani ndiyo inakukosesha kupata …
Continue reading "Sababu Nyingi Unazojipa Ni Kwa Sababu Hii Hapa"