Kama umeamka asubuhi na hujui nini unakwenda kufanya utajikuta siku inakuyumbisha na huku ukiendelea kuendeshwa na matukio na siyo kadiri ya ratiba ya siku yako. Hapa ndiyo inakuja ile dhana kwamba usipoipangilia siku yako na kusema unataka nini na hutaki nini utajikuta unapata kile ambacho hata hukutegemea kukitaka kwenye maisha yako. Kama unaishi maisha ambayo …
Continue reading “Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Uyumbishwe Kwenye Maisha Yako”