Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama rafiki na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwani kila siku ni siku mpya na ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kama unaishi maisha kimafanikio na wewe ni mpambanaji huna ruhusa ya kusema kila siku ni afadhali ya jana hayo …
Continue reading “Hawa Ndio Watu Adimu Sana Katika Karni Hii Ya Ishirini Na Moja(21) Hapa Duniani”