Ni kawaida ya watu wengi kupenda kununua vitu rahisi tena sehemu ambazo siyo sahihi. Watu wamezoea kuuziana vitu kienyeji na kununua vitu kwa hisia bila kufikiri kwanza. Leo naomba uwe makini sana kwenye hivi vitu vya kununua mikononi mwa watu.Kabla hujanunua kitu kwa mtu, yaani sehemu ambayo siyo rasmi, labda unanua simu kwa mtu jiulize …
Continue reading “Kabla Hujanunua Kitu Kwa Mtu Jiulize Swali Hili”