Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko vizuri na umeianza siku yako katika mtazamo chanya wenye furaha na hamasa ya kwenda kuwajibika kwenye kile unachofanya. Leo ni siku bora sana rafiki hivyo tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo. Tuitumie zawadi hii kuleta mabadiliko chanya …
Continue reading "Hizi Ndizo Sababu Zinazokuhamasisha Wewe Kuwa Na Mafanikio"