Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama. Rafiki, tumebakiza masaa machache kuukaribisha mwaka mpya na kuuaga rasmi mwaka 2016. Mpenzi msomaji, katika masaa haya yaliyobakia Fanya kitu ambacho hukuwahi kufanya cha kuleta maendeleo kwako binafsi na kwa jamii nzima. Usikubali leo ipite bila kuacha alama. Mpendwa …
Continue reading "Mambo 20 Unayoweza Kujifunza Kutoka Katika Kitabu Cha Start With Why"