Bahati Nzuri Kuliko Zote Duniani

Rafiki, Kila mtu ana bahati hapa duniani. Kama unasoma hapa  rafiki yangu basi hata na wewe ni mtu mwenye bahati sana. kwanza mpaka sasa bado unaendelea kuvuta pumzi je huoni ni bahati hiyo? Wengi wamekufa lakini wewe bado uko hai huoni hiyo ni bahati? Shukuru kwa bahati ya kuendelea kuwepo hapa duniani. Ukiwa ni mtu …

Mambo Mawili Ya Kufanya Ili Kufikia Kwenye Ubobezi

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda kuwa bora, kufikia ngazi ya juu kabisa kwenye kile anachofanya iwe ni kazi, biashara nakadhalika. Kuwa mbobozi wa kitu fulani siku kazi rahisi labda ni kitu cha kuamka na kujikuta tayari  wewe ni mbobezi. Kuna gharama kubwa ambazo kila anayetaka kuwa mbobezi katika eneo fulani anatakiwa kuwa tayari …

Jinsi Ya Kumjengea Mtoto Wako Tabia Za Kitajiri

Mpendwa rafiki, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hakuna aliyeandika barua ya kuomba kuzaliwa na hakuna aliyeomba au kuchagua mzazi ambaye anaye sasa bali wote tumejikuta tunao wazazi ambao leo hii tunao. Mtoto anamtegemea sana wazazi wake kumpa msingi wa maisha bora, kama mzazi hajielewi na hana ramani katika maisha yake ni wazi kwamba naye …

Epuka Kuwa Na Saikolojia Hii Kwenye Maisha Yako

Rafiki, Mchezo mzima wa maisha uko katika saikolojia ya akili zetu. Kile tunachopata katika maisha yetu huwa sisi ndiyo tunakuwa sumaku ya vile tunavyotaka. Kile kinachotawala akili yetu huwa ndiyo kinatokea katika maisha yetu. Unatakiwa kuondoa miiko, mila, desturi, na mitazamo yote inayokwenda kinyume na wewe. Usiishi maisha kadiri ya watu bali ishi kadiri ya …

Hii Ndiyo Ramani Bora Kwako Ya Kutembea Nayo Mwaka 2019

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku unatakiwa kulazimisha akili na mawazo kwenye kufikiria kile unachopenda.  Akili yetu huwa inatabia moja huwa inatupa kile ambacho kinatawala sana kwenye mawazo yetu. ndiyo maana nina kusihi usikubali mawazo hasi yawe karibu na wewe bali ruhusu mawazo chanya tu ndiyo yakae na wewe. Tembea na kile ambacho kinakupa faida na …

Huu Ndiyo Ufalme Ulio Mkuu Kuliko Ufalme Wote

Maisha ya kujiamini ni maisha ya kifamle au kimalikia. Wafalme wanaishi vile watakavyo vivyo hivyo hata malikia wanaishi vile watakavyo. Ni watu wanaojikubali sana siyo kwamba malikia ni watu wazuri sana au walioumbika sana bali wanajiamini sana kwa nafasi waliyo. Kila mtu ni mfalme na malikia wa maisha yake. Unatakiwa kufurahia maisha yako na usisubiri …

Njia Bora Kabisa Ya Kumsaidia Mtu Masikini

Heri ya mwaka mpya 2019 rafiki yangu, uwe ni mwaka wa mafanikio makubwa kwenye kila eneo la maisha yako. Hivi umasikini unakupa faida gani? kama umasikini unakupa mateso kwanini sasa usipambane kuwa tajiri? Hata kama huna fedha mfukoni usijikirishe imani ya kuwa wewe ni masikini. Hakuna kitu kibaya au kizuri kama kukiri imani. Hata katika …

Kwanini Watu Wengi Hawapendi Kuwekeza

Rafiki, Kuwekeza ni jambo zuri lakini pia kuwekeza kuna hatari yake pia na hii ndiyo inawafanya watu wengi kukimbia uwekezaji. Kuwekeza ni kama kitendawili kuna kupata au kukosa. Watu wengi wanaogoapa sana kuwekeza kwa sababu ya hofu ya kupoteza fedha zao. Hata wewe huenda unataka kuwekeza katika jambo fulani au kufanya biashara lakini kinachokufanya usianze …

Mbinu Bora Ya Kuishi Maisha Yako Na Kuwa Na Mafanikio Makubwa

Mpendwa rafiki yangu, Huenda kuna watu tokea wazaliwe hawajawahi kuishi maisha yao. Kuishi maisha yako ni kuishi vile upendavyo wewe na sasa hiyo imekuwa ni changamoto ya watu wengi. Kuna gharama za kuishi maisha yako, hivyo kama unataka kuishi maisha ukubali kuzilipa mapema. Maisha bora ya kuishi maisha yako iwe ni kwenye kazi, biashara na …

Njia Ya Uhakika Ya Kupata Utajiri Na Fedha

Rafiki, Chochote unachotaka, unachotafuta kipo mikononi mwa watu. Watu wamekuwa wakitafuta siri ya mafanikio, nini kinachofanya wachache kufanikiwa na wengine kutofanikiwa. Watu wamekuwa wanakimbizana na fursa kila siku, yaani mpaka inafikia mwisho wa mwaka mtu hajui anasimamia fursa gani, akisikia fursa ya matikiti anafanya, huku akiwa bado hajamaliza akisikia fursa ya tangawizi anaacha ile ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started