Mpendwa rafiki yangu, Biashara yoyote ni mauzo. Bila mauzo hakuna uhai wa biashara yoyote ile. Na habari njema ni kwamba kila mmoja wetu kuna kitu anauza hivyo basi kila mtu anayetaka kupata mauzo mengi basi anatakiwa kujifunza saikolojia ya mauzo. Unaweza ukawa na bidhaa bora kweli lakini usiwe na mauzo mazuri, ili mteja aje kwako …
Continue reading "Kama Unataka Kuuza Sana Katika Biashara Yako Mfanye Mteja Wako Kuwa Hivi"