Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anapoteza muda kwa namna yake. Na hakuna hata mtu mmoja anaweza kusimamisha muda usiende. Hata mabilioni ya biligeti hayawezi kununua hata dakika moja ya muda. Hivyo basi, muda una thamani kubwa katika maisha kuliko hata fedha. Ukiwa na muda utapata fedha kwa kuwa muda ndiyo mtaji wa vitu vyote tunavyoviona …
Continue reading "Jinsi Ya kuuwahi Muda Kabla Haujakuwahi Wewe"