Hili Ndiyo Eneo Moja Pekee Ambalo Wanandoa Wengi Hulifanya Kuwa Siri Kubwa

Mpendwa rafiki, Lengo kubwa la mwasisi wa ndoa kuweka ndoa ni wana ndoa kushirikiana yaani kuwa na umoja lakini ukiangalia kusudi la mwasisi wa ndoa na wanadoa wa karne hii wanavyoishi ni vitu viwili tofauti kabisa. Na ukiangalia kwa undani wa ndoa wengi hawaishi katika umoja, hata waswahili wanasema kidole kimoja hakivunji chawa. Sehemu ambayo …

Njia ya uhakika ya kupata mafanikio makubwa

Rafiki, Najua unahitaji mafanikio, ila siri ya mafanikio iko wazi kabisa ni kuwawezesha wengine kupata kile wanachotaka na wewe utapata kile unachotaka. Ila watu shida yao moja ni kwamba hawataki kujitoa kwa ajili ya wengine hawajui kuwasaidia wengine ndiyo wao kufanikiwa. Njia ya uhakika ya kupata mafanikio ni kuweka maslahi ya wengine mbele, toa thamani …

Mambo Mawili Muhimu Ya Kuzingatia Katika Fedha

Mpendwa rafiki, Natumaini kila mmoja wetu anaelewa nini umuhimu wa kuwa na fedha. Fedha ni jawabu la mambo yote. Tukiwa na fedha mambo mengi yanawezekana  lakini pasipo kuwa na fedha mambo mengi yanakuwa magumu. Usipozijua siri za mchezo wa fedha utapata shida, kama tunavojua katika kila mchezo una sheri zake hivyo basi, hata katika fedha …

Kwanini Hutakiwi Kujifunza Kutokana Na Makosa Yako

Rafiki, Huwa mara nyingi tunasikia kauli kama hii jifunze kutokana na makosa yako, lakinini kuna kauli moja ambayo wengi wetu huwa hatujiambii kama tunavyojiambia au kuwaambia wengine wajifunze kutokana na makosa yao. Mara nyingi tukijifunza kutokana na makosa yetu huwa haina hamasa sana katika maisha yetu, Muda mwingine tunakata tamaa kutokana na makosa tuliyofanya hivyo …

Kama Unataka Mafanikio Kwenye Maisha Yako Epuka Kitu Hiki

Mpendwa  rafiki yangu, Mafanikio yana mambo mengi, ni mjumuisho wa mambo mengi na siyo kitu kimoja. Hivyo basi, Usione mtu kafanikiwa ukazani ni kitu kimoja, hapana ni mkusanyiko wa mambo mengi. Kama unataka kufanya jambo lako muhimu sana ni vema ukalifanya muda wa asubuhi kabla dunia haijaamka. Sasa katika huo muda wa asubuhi unatakiwa utawale …

Bahati Nzuri Kuliko Zote Duniani

Rafiki, Kila mtu ana bahati hapa duniani. Kama unasoma hapa  rafiki yangu basi hata na wewe ni mtu mwenye bahati sana. kwanza mpaka sasa bado unaendelea kuvuta pumzi je huoni ni bahati hiyo? Wengi wamekufa lakini wewe bado uko hai huoni hiyo ni bahati? Shukuru kwa bahati ya kuendelea kuwepo hapa duniani. Ukiwa ni mtu …

Mambo Mawili Ya Kufanya Ili Kufikia Kwenye Ubobezi

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda kuwa bora, kufikia ngazi ya juu kabisa kwenye kile anachofanya iwe ni kazi, biashara nakadhalika. Kuwa mbobozi wa kitu fulani siku kazi rahisi labda ni kitu cha kuamka na kujikuta tayari  wewe ni mbobezi. Kuna gharama kubwa ambazo kila anayetaka kuwa mbobezi katika eneo fulani anatakiwa kuwa tayari …

Jinsi Ya Kumjengea Mtoto Wako Tabia Za Kitajiri

Mpendwa rafiki, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hakuna aliyeandika barua ya kuomba kuzaliwa na hakuna aliyeomba au kuchagua mzazi ambaye anaye sasa bali wote tumejikuta tunao wazazi ambao leo hii tunao. Mtoto anamtegemea sana wazazi wake kumpa msingi wa maisha bora, kama mzazi hajielewi na hana ramani katika maisha yake ni wazi kwamba naye …

Epuka Kuwa Na Saikolojia Hii Kwenye Maisha Yako

Rafiki, Mchezo mzima wa maisha uko katika saikolojia ya akili zetu. Kile tunachopata katika maisha yetu huwa sisi ndiyo tunakuwa sumaku ya vile tunavyotaka. Kile kinachotawala akili yetu huwa ndiyo kinatokea katika maisha yetu. Unatakiwa kuondoa miiko, mila, desturi, na mitazamo yote inayokwenda kinyume na wewe. Usiishi maisha kadiri ya watu bali ishi kadiri ya …

Hii Ndiyo Ramani Bora Kwako Ya Kutembea Nayo Mwaka 2019

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku unatakiwa kulazimisha akili na mawazo kwenye kufikiria kile unachopenda.  Akili yetu huwa inatabia moja huwa inatupa kile ambacho kinatawala sana kwenye mawazo yetu. ndiyo maana nina kusihi usikubali mawazo hasi yawe karibu na wewe bali ruhusu mawazo chanya tu ndiyo yakae na wewe. Tembea na kile ambacho kinakupa faida na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started