Mpendwa rafiki, Kwa kila binadamu aliyehai basi hakuna ambaye hasemwi kwa namna yoyote ile, kama husemwi basi ujue umeshakufa. Ambaye hana changamito ni yule aliyelala kaburini lakini kama unaishi bado utahusika na mengi. Watu milioni 50 wakisema jambo la kipumbavu bado ni jambo la kipumbavu alisema Anatole France. Watu wakikusema vibaya kama sivyo ulivyo hata …
Haya Ndiyo Majibu Mazuri Kwa Mtu Anayekuambia Huwezi
Mpendwa rafiki yangu, Kitendo cha kuzaliwa tu duniani ni tiketi ya kusema kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Mara nyingi jamii na walimu wengi mwenye mtazamo hasi hawawajengei watu uwezo wa kujiamini. Kila mtu anaweza ndiyo maana tuko hapa duniani. Kila mtu ni sehemu tone la bahari, na haya matone yetu kwa pamoja ndiyo …
Continue reading "Haya Ndiyo Majibu Mazuri Kwa Mtu Anayekuambia Huwezi"
Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kuchelewa
Mpendwa rafiki yangu, Zawadi pekee ambayo tumepewa bure hapa duniani ni muda. Hakuna mtu anayeweza kuongeza hata dakika moja ndani ya masaa haya ishirini na nne. Bila muda hatuwezi kutimiza mipango mizuri tuliyokuwa nayo. Kila mmoja wetu anategemea muda ili aweze kufanya kile anachotaka kufanya. Ni kawaida kwa watu wengi kuchelewa maeneo mengi ya maisha …
Vitu Vitatu Ambavyo Hupaswi Kuviamini Kwenye Maisha Yako
Imani tuliyonayo ndiyo inatufanya tuwe hivi tulivyo leo. Maisha ni imani na kila mtu anaongoza maisha yake kadiri ya imani yake. Unafanya hicho unachofanya leo kwa sababu una imani nacho na kama ungekuwa huna imani nacho usingeweza kukikifanya. Viko vitu ambavyo hatupaswi kuviamini kwa asilimia mia moja katika maisha yetu. Muda mwingine tunaweka maisha yetu …
Continue reading "Vitu Vitatu Ambavyo Hupaswi Kuviamini Kwenye Maisha Yako"
Huyu Ndiyo Adui Mkubwa Wa Ukarimu
Mshumaa haupotezi chochote kwa kuwasha mshumaa mwingine. Asiyepoteza haokoti ni methali ya kitanzania. Ni katika kutoa ndiyo tunapokea. Tunaalikwa kutoa sana kuliko kupokea, wako watu ambao wamekuwa kama bahari iliyokufa yaani dead sea wao kazi yao ni kupokea tu kutoka kwa wengine lakini wao hawatoi. Kuna msemo mwingine unasema, kutoa ni moyo wala siyo utajiri. …
Ungekuwa Mbali Sana Kifedha Kama Ungekuwa Unafanya Hivi Kwenye Fedha Zako
Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni ulinzi wa karne ya ishirini na moja kwa sababu kila kitu tunachohitaji tunakipata kwa njia ya fedha. Maisha yetu ya kila siku yanaendeshwa na fedha. Katika mchezo wa fedha ziko kanuni ambazo ukizifuata lazima utafanikiwa kwenye eneo hili. Kila mchezo una kanuni zake, hivyo …
Continue reading "Ungekuwa Mbali Sana Kifedha Kama Ungekuwa Unafanya Hivi Kwenye Fedha Zako"
Kitu Ambacho Mtu Anahitaji Ili Abadilike
Hakuna kitu kigumu katika maisha yetu kama mabadiliko. Kutoka katika maisha ya mazoea na kwenda kuanza tabia mpya huwa kinawatesa sana watu. Na uzuri wa mabadiliko hauwezi kukuacha salama na ukabaki kama ulivyo. Uwe unataka au hutaki mabadiliko yakitokea utabadilika tu mwenyewe. Katika mahusianio yetu ya kazi, biashara,ndoa nk watu wamekuwa wagumu kubadilika. Muda mwingine …
Hilo Siyo Wazo Lako,Soma Hapa Kujua Wazo Lako Sahihi
Mpendwa rafiki yangu, Huwa tunajidanganya sana tuna mawazo mazuri, na muda mwingine tunajiaminisha kuwa kile ambacho tunakijua wengine hawakijui. Wazo ambalo unalo kichwani hilo siyo lako kwani yoyote anaweza kulifanyia kazi na ukashangaa mwenyewe, je hujawahi kuona sehemu ambayo wewe ulikuwa unafikiria utafanya kitu fulani ukachelewa kuchukua hatua ukaona mwenzako tayari na yeye amefanya kama …
Continue reading "Hilo Siyo Wazo Lako,Soma Hapa Kujua Wazo Lako Sahihi"
Neno Pekee Litakalokusaidia Kujenga Nidhamu Binafsi Kwenye Maisha Yako
Katika zama hizi ukiwa ni mtu wa kusema ndiyo kwenye kila kitu mwisho wa siku utajikuta huna ulichofanya. Ukiwa ni mtu wa ndiyo kwenye kila jambo lazima mambo yako mengi yatasimama, utakua unafanyia kazi mambo ya watu wengine huku ya kwako yakiwa yamelala. Mtu anakuja kwako, ulikuwa na mambo muhimu ya kufanya anaomba umsindikize sehemu …
Continue reading "Neno Pekee Litakalokusaidia Kujenga Nidhamu Binafsi Kwenye Maisha Yako"
Sababu Kuu Moja Kwanini Unaweza Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa
Rafiki, Kuzaliwa kwako duniani ni ushindi mkubwa sana kibailojia, ulikuwa na mwenzako wengi sana lakini wewe ndiyo ukaibuka kuwa mshindi. Kitendo tu cha wewe kuzaliwa ni ushindi, ndiyo maana napenda kukuambia kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Hata klabu yetu ambayo ninaiendesha kupitia mtandao wa wasapu inaitwa MIMI NI MSHINDI NA NIMEZALIWA KUSHINDA, kama …
Continue reading "Sababu Kuu Moja Kwanini Unaweza Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa"