Hiki Ndiyo Kiwango Sahihi Cha Fedha Unachopaswa Kuingiza Kila Mwezi

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni muhimu sana katika maisha yetu, tukiachana na hewa tunayovuta basi kinachofuata kwa umuhimu ni fedha. Karibu kila eneo la maisha yetu ili tuwe vizuri tunahitaji fedha bila fedha tunadumaa kwenye maeneo yetu mbalimbali. Wako ambao watakuambia fedha siyo muhimu na wanawasema vibaya wenye hela lakini ukichunguza watu hao hao ndiyo …

Hawa Ndiyo Watu Ambao Hupaswi Kuwakasirikia

Rafiki, Kukasirika ni asili ya binadamu, hatuwezi kuzuia kutokuwa na hisia za hasira bali tunaweza kuzikabilia au kuzitawala hisia zetu ili tusiweze kufanya mambo ya ajabu. Wote tunajua kuwa tunapokuwa na hisia za hasira huwa fikra zinakuwa chini yaani uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana hisia zinakuwa juu. Ikitokea mtu mzima amekuja na kukufanyia kitu …

Kabla Ya Kulalamika Kwenye Jambo Lolote,Kaa Chini Na Jiulize Swali Hili

Katika jamii yetu ni kawaida sana watu kulalamika. Na siyo tu kulalamika lakini pia wengi wanaona kama vile wameonewa kwenye kile wanachofanya kama wamepata matokeo ndivyo sivyo. Utamaduni wa kulalamika hovyo umeanzia nyumbani mpaka maeneo ya kazi, huwa tunalalamikiana hata muda mwingine tunachokana kwa sababu ya lawama za kijinga. Ila hatuwezi kufika muafaka kwa njia …

Kijue Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa kazi na juhudi unazoendelea kuweka kuhakikisha unakuwa na maisha bora pamoja na kugusa maisha ya wengine. Rafiki nina zaidi ya miaka mitatu sasa tokea nianze kuandika, kupitia mafundisho haya ninayoendelea kuyatoa yameweza kuwasaidia wengi na kugusa maisha yao kwa namna moja au nyingine. Nimekuwa naandika eneo la mahusiano hivyo …

Hivi Ndivyo Sheria Ya Asili Haiwezi Kukuacha Salama

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa kutimiza nusu mwaka sasa ya mwaka 2019, uwe na mwezi juni mzuri wenyewe furaha na mafanikio makubwa. Kama tunavyojua dunia inajiendesha kwa taratibu na misingi yake. Kwa mfano, mvua inanyesha vile inavyotaka yenyewe na siyo vile tunavyotaka sisi. Jua linawaka kwa mipango yake yenyewe. Hakuna mtu anayeweza kuiamuru dunia …

Kamwe Usiwe Kama Bahari Hii Iliyokufa Ambayo Haifai Hata Kwa Matumizi

Mpendwa rafiki yangu, Kuna bahari ambayo inaitwa bahari iliyokufa yaani dead sea, ni bahari ambayo haifai kwa matumizi yoyote ile. Hii bahari kazi yake kubwa ni kupokea tu na wala haitoi licha ya yenyewe kupokea sana maji kutoka sehemu mbalimbali. Inaitwa babahri iliyokuwa kwa sababu haina mmea wala samaki wa aina yoyote, yenyewe inapokea tu …

Njia Nzuri Ya Kuweka Akiba

Rafiki, Kila mmoja wetu anafahamu umuhimu wa kuweka akiba katika maisha yake. Huwa ni jambo ambalo tunalielewa vizuri lakini ubishi mkubwa unakuja kwenye utekelezaji wake. Karibu waandishi wengi na watu waliofikia mafanikio makubwa wanatuambia umuhimu wa kuweka akiba. Akiba ni hazina kwa kila binadamu anayeendelea kuishi. Kumekuwa na watu wa madeni mpaka yale madeni yameshakuwa …

Jinsi Ya Kuepuka Kusahau Kufanya Jambo Lako Muhimu

Imekuwa ni kawaida katika jamii yetu watu kusahau kufanya ambayo tulipanga kufanya. Na asili ya binadamu ni kusahau. Hakuna mtu ambaye hasau kabisa na ukizingatia kwa sasa mambo yalivyokuwa mengi ni rahisi sana kusahau. Watu wanatingwa na kazi nyingi kwa sababu maisha yamekuwa ni mchakamchaka kweli hakuna kulala bali kupambana tu. Kila siku mtu anajituma …

Hivi Ndivyo Familia Nyingi Zinapoteza Dira

Mpendwa rafiki yangu, Mama Theresa aliwahi kunukuliwa akisema, familia zinazosali pamoja hukaa pamoja. Je kadiri ya usemi huu wa mama Theresa je leo hii unajidhihirisha katika familia zetu? Ni wangapi wanaweza kusimama na kusema kuwa yeye familia yake iko vizuri kwa sababu wanasali pamoja na kukaa pamoja? Kuna changamoto za familia nyingi zilizopoteza dira hii …

Usidharau Kile Ambacho Unacho

Rafiki, Kama unataka kuona umuhimu wa kile ambacho unacho sasa hebu kipoteze au kikose. Tumekuwa ni watu wa kutothamini kile ambacho tunacho, mara nyingi tumekuwa ni watu wa kuchukulia poa vile ambavyo tunavyo. Usichukulie poa kitu chochote ambacho unacho maana siku ukikikosa utaumia sana. Hata kama kuna kitu huwa unakichukulia poa siku usipokiona utaumia sana. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started