Watu wengi wanaamua kufanya kitu fulani kwa sababu ya hamasa. Hamasa iliyoko ndani yetu ndiyo inatusukuma kuthubutu jambo fulani. Mara nyingi pale tunapokuwa na hamasa ya kazi fulani tunakuwa kama vile tuna moto ndani yetu unaowaka na hatuwezi kuuzima kwa kuongea bali kwenda kufanya kile ambacho kipo ndani yetu. Na muda mzuri wa kufanikiwa jambo …
Continue reading "Jinsi Ya Kuwasha Moto Wa Hamasa Ndani Yako"