"Mwandishi mmoja amewahi kuandika makampuni makubwa huwa yanawalipa vizuri sana vijana pale wanapoanza kazi ili kuzima ndoto zao, wakishakaa muda mrefu hawawalipi tena vizuri kwa sababu wanajua hawana tena ndoto kubwa au ujasiri wa kwenda kupambana wenyewe." Viko vitu ambavyo vimekuwa kama rushwa ambavyo vimewafanya watu wengi kutoziishi ndoto zao. Mshahara na marupurupu mbalimbali ni …
Continue reading "Kataa Rushwa Hizi Kama Unataka Kufanikiwa"