Huwezi kufanya mambo makubwa kama akili yako haijatulia. Huwezi kuyajua maisha yako vizuri sana kwenye kila eneo la maisha yako kama hujapata muda wa kutulia. Ukipata muda wa kutulia kwenye maisha yako, utaweza kufanya mambo makubwa sana.Watu wanajikimbia hawataki hata kupata muda wa kujisikiliza wao wenyewe kupitia sauti zao za ndani. Hivi unajua kuwa sauti …
Continue reading "Ukipata Muda Huu, Utaweza Kufanya Mambo Makubwa Sana"