Ujinga ni nini? Ni kufanya kitu kile kile kwa mtindo ule ule halafu unategemea kupata matokeo tofauti hii ni kadiri ya mwanasayansi Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema enzi za uhai wake. Huwezi kuwa na ndoa bora kama kila siku unafanya mambo yale yale yanayochangia ndoa yako kutokua vizuri. Ili mahusiano yako yaweze kukua inakupasa na …
Continue reading "Huu Ndiyo Ujinga Ambao Wanandoa Wanapaswa Kuuacha Mara Moja"