Kila mmoja wetu anajua kuwa fedha ni muhimu wala hilo halihitaji ubishi. Fedha ni jawabu la mambo yote. Matatizo mengi waliyokuwa nayo watu siyo matatizo bali hawana fedha. Kama tatizo linalokusumbua linatatulika na fedha basi wewe tatizo lako ni fedha. Tafuta fedha utatue matatizo yanayokukabili. Wale ambao wanawasema vibaya wenye fedha nyingi ni wale ambao …
Continue reading "Mpango Mzuri Wa Kufikia Fedha Nyingi Unazotaka"