
Asubuhi njema rafiki yangu, ukawe na maadhimisho mazuri ya sabasaba leo jitakari biashara gani ya familia utakayoiachia familia yako hata ukifa badala ya kuwaachia familia yako CV ambayo itasomwa kwenye mbele ya jeneza lako huku ikiwa haiwezi kuwasaidia wale uliowaacha kulipa bili.
Tengeneza njia kwenye kizazi chako ili kisije kupata shida baadaye. Unayo nafasi sasa jitahidi kuwawekezea ili baadaye usije ukaulizwa ulikuwa h afanya nini.
Mwl. Deogratius Kessy