Watu wengi wamekuwa na mtazamo mbaya sana ambao unawafanya wasifanikiwe. Kwa mfano, wana mtazamo wa kuchukua au kupewa zaidi kuliko wanavyotoa. Kwa chochote kile ambacho watu wanafanya huwa wanajiandaa na kujiangalia kwanza wao wananufaikaje. Watu hawajali wanawanufaishaje wengine. Kwa mfano, kwa hali kama hii ndiyo maana ukiritimba, rushwa na ufisadi unaendelea kuwepo sehemu nyingi kwa …
Continue reading "Badili Mtazamo Huu Kama Unataka Kufanikiwa Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako"