Kinachoendelea Ndani Yako Kinaonekana Kwa Nje

Mwandishi Earl Nightingale aliwahi kunukuliwa akisema, kinachoendelea ndani yako kinaonekana kwa nje. Kile unachofikiri kinaamua ni nini utafanya. Kila unachofikiri kila mara kitaamua ni wapi utakapoishia na maisha yako. Hapo wala hakuna ubishi. Mawazo yako unayowaza yawe ni chanya au hasi ndiyo yanakufanya wewe uonekane hivyo ulivyo. Ukifikiria mawazo ya kujenga, utaona matokeo mazuri unayotaka …

Sababu Moja Kubwa Kwa Nini Watu Wengi Wanashindwa Kufikia Malengo Yao

Iko sababu moja kubwa inayowafanya watu wengi kushindwa kufikia malengo yao na kufanikiwa. Sababu hiyo moja ni kushindwa kuweka juhudi zinazohitajika. Chunguza watu wengi wana ndoto kubwa lakini juhudi wanazoweka haziendani na ndoto walizonazo. Wengi hawapo tayari kujitoa kweli na kuweka juhudi mara kumi ya vile walivyozoea kuweka. Hatimaye biashara zinakufa, afya zinazorota mahusiano yanavunjika …

Jinsi Ya Kupata Mabadiliko Ya Kweli

Mabadiliko ya kweli yanaleta mafanikio ya kweli. Fanya mabadiliko ya kweli kwenye maisha yako ili upate mafanikio ya kweli. Nimekuandalia mabadiliko 250 ya ushindi yatakayokusaidia mwaka wako uwe mwaka wa ushindi. Kila siku unasoma badiliko moja na unaenda kuchukua hatua, mabadiliko haya yana nguvu sana. Usijicheleweshe kupata kitabu hiki kuwa sehemu ya washindi mwaka 2022 …

Amua Kumiliki Maisha Yako

Ili kufikia mafanikio makubwa, ni lazima uamue kumiliki maisha yako. Amua kwamba wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako na wala huhitaji leseni ya kuendesha maisha yako kama ilivyo biashara. Amua kwamba chochote kinachotokea kwenye maisha yako ni wewe umesababisha. Kwa mfano, kama umepata hasara kwenye biashara ni wewe ndiyo umesababisha, hata kama kuna mtu kaiba …

Karibu Sana Ujiunge Na Klabu Ya Mimi Ni Mshindi Nimezaliwa Kushinda

Je, unataka kuishi maisha ya kiushindi katika maisha yako? Karibu sana kwenye Mimi Ni Mshindi Nimezaliwa Kushinda Klabu uweze kujifunza mambo mazuri yatakayokuwezesha KUCHUKUA HATUA lakini pia kuwa bora. Karibu sana tufanye kazi pamoja, ukijiunga leo utapata zawadi ya masomo ya Semina ya kuanza mwaka 2022 kiushindi. Nitumie ujumbe kwa wasapu kwenda namba 0717101505 ili …

Je, Unajua Njaa Ya Mwenza Wako

Je, unajua Njaa ya mwenza wako? Kama hujui basi utakua humshibishi na madhara ya mtu kuwa na njaa ni makubwa. Hakikisha unamshibisha mwenza wako vizuri na siyo kumwacha akiwa na njaa. Sasa utajuaje njaa ya mke au mume wako? Majibu ya swali hilo utayapata kupitia kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa, kwanini unavumilia maisha ya …

Neema Tumepewa Bure, Ili Upate Baraka Unapaswa kufanya Hiki

Kila mmoja wetu amepewa neema bure kabisa lakini vipi kuhusu baraka? Baraka nayo ni nguvu ya asili inayofanya kazi ndani yetu. Baraka huwa haiji kama neema, ili upate baraka unatakiwa kufanya kazi. Baraka inapatikana kwa kufanya kazi, kwa kufanya kitu fulani ndiyo uweze kuipata. Bila kufanya kitu baraka haiwezi kukupata. Kwa mfano, tunapata baraka pale …

Fanya Chochote Kile Kama Hivi

Fanya chochote kile kwenye maisha yako kama vile kila tendo lako unalofanya linarekodiwa na kamera na kuna watu wanaangalia vile unavyofanya. Ukichukulia kila tendo unalofanya linarekodiwa , huwezi ukafanya kitu ambacho siyo sahihi. Fikiria kama unarekodiwa na watoto na wajukuu zako wataoneshwa jinsi ulivyokuwa unafanya mambo yako, kila siku na kila mahali. Kama unajua kuna …

Kabla Hujawekeza Fedha Yako Popote, Fanya Hiki Kwanza

Kabla ya kuwekeza fedha yako popote pale, unatakiwa kuwekeza ndani yako kwanza. Wekeza ndani yako kwanza kwa kujifunza sana, kuwa bora kwanza wewe mwenyewe kabla hujataka kuwekeza sehemu yoyote ile. Mtu akishajifunza, akishakuwa bora anaweza kufanya maamuzi sahihi ya wapi pa kuanzia. Kwa mfano, katika fursa, zipo fursa ambazo ni za kweli na zipo ambazo …

Usiamini Vitu Juu Juu

Badala yake vijue kwa undani wake. Kabla hujaingia makubaliano ya kikazi au kibiashara au makubaliano yoyote yale na mtu, ni vema mkawa na makubaliano yaliyoandikwa, vinginevyo mtakuja kuumbuana. Makubaliano yaliyoandikwa yanakuwa yana ulinzi kwa pande zote mbili. Kwa mfano, ukiajiri, hakikisha mnaingia mkataba wa kimaandishi hata siku lolote lile likija kutokea unakuwa salama. Ni muhimu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started