Unapaswa kuelewa kwamba dunia haisimami. Na wewe pia hausimami, aidha hapo ulipo unaenda mbele au unarudi nyuma. Jichunguze, je, unaenda wapi? Kama dunia haisimami, basi unapaswa kujua kwamba kila kitu kinabadilika. Usishangazwe na mabadiliko unayoyaona kwa watu wengine. Watu wanabadilika na kila kitu kinabadilika. Watoto wanabadilika, ndugu, jamaa, marafiki na hata wenza wetu wanabadilika. Ishi …
Continue reading "Usishangae Kuona Mabadiliko Haya Hapa Kwenye Maisha Yako"