Ni kukubali kwamba kila kitu kwenye maisha yako ni wajibu wako. Wako watu bado wanaamini kuwa jukumu la maisha yao sio lao bali ni la watu wengine. Kwa mfano, ikitokea ndugu mmoja ana uwezo wa kifedha wale ndugu ambao hawana fedha wanaamini kwamba yule ambaye amefanikiwa kifedha ndiyo anatakiwa kubeba jukumu la maisha yao. Hakuna …
Continue reading "Hatua Ya Kwanza Kuchukua Kama Unataka Kubadili Maisha Yako"