Kitu Pekee Ambacho Huwezi Kukopa Hapa Duniani

Tumeshazoea kukopa, wengine kukopa imeshakuwa ni tabia, mtu asipokopa anakuwa anajiona kama vile hajakamilika. Pale mtu anapokuwa hana fedha anaweza kukosa kwa mtu wake wa karibu na akamsaidia lakini kuna kitu ambacho wote hapa duniani hatuwezi kukopa. Kitu chenyewe ambacho hatuwezi kukopa ni muda.Huwezi kukopa masaa 24 yajayo uyatumie kwa mambo yako leo na utakuja …

Ukishakuwa Na Sababu Hii, Hakuna Kitakachokushinda

Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche aliwahi kunukuliwa akisema,Yeyote mwenye sababu ya kuishi, anaweza kupambana na chochote. Kumbe basi, ukishakuwa na sababu ya kuishi, hakuna kinachoweza kukushinda. Ukishajua kile unachotaka na ukiwa na kwanini kubwa ndani yako utaweza kupambana na chochote kile. Wakati mwingine unakutana na mateso kwenye safari ya mafanikio, ukiangalia mapito unayopitia kama huna kwanini kubwa …

Ng’ombe Anapokuwa Muhimu Kuliko Wewe

Watu wengi hujitoa sana pale wanapowasaidia wengine, lakini inapokuja kwao binafsi wanapuuza. Kwa mfano, mifugo ambayo mtu anaifuga ikiumwa haraka hutafutiwa matibabu na kuhakikisha inapata matibabu, lakini wewe mwenyewe ukiumwa huhangaiki sana na hata ukipewa dawa hutumii kwa ukamini kama unavyoelekezwa lakini kama ni mtu mwingine au mifugo unahakikisha inamaliza dozi. Watu wanapoumwa wakiandikiwa dawa …

Acha Kauli Hii Inayokufunga Kupata Muda Zaidi

Tunaishi kwenye zama ambazo kila mtu yuko 'bize" na mambo ya kufanya ni mengi kuliko muda tulionao. Tukisema tufanye kila kitu, hatutakuwa na muda wa kufanya lakini tunao muda wa mchache wa kufanya yale muhimu tu na siyo kila kitu. Mwanafalsafa Seneca aliwahi kunukuliwa akisema, “Siyo kwamba hatuna muda, bali tuna muda mwingi mpaka tunaupoteza …

Kuwa Mwanafunzi Wa Maisha

Ukiwa unataka kujua vitu vingi, basi jifunze sana na ishi kwa unyenyekevu kama vile hujui kitu. Kubali kuwa mwanafunzi wa maisha na utajifunza vitu vingi. Watu wako tayari kukufundisha pale unapokuwa tayari lakini ukijifanya mjuaji watu watakuacha uangamie. Huwezi kuwa bora kwenye kila kitu, kila mtu ana ubora wake kwenye eneo fulani la maisha yake. …

Usikubali Kufanya Kitu Hiki

Rafiki yangu, Kwa chochote kile unachofanya,Usikubali kufanya kitu kitakachodumu kwa muda mfupi, kwa msimu, tu kisha kikapotea. Fanya kazi itakayodumu muda mrefu, itakayodumu vizazi na vizazi. Tengeneza kitu ambacho kitaishi kwa muda mrefu kuliko muda utakaoishi wewe.Na kwa kufanya hivyo, ndivyo dhana ya wewe kuishi milele. Leo hii tunatumia kazi za watu wengi ambao walishaondoka …

Kitu Cha Kutegemea Kwa Binadamu

Ni mabadiliko. Unapokuwa na mtu yeyote yule mpe nafasi kwamba iko siku atakuja kubadilika na ukishajiandaa hivyo kisaikolojia na likija kutokea kweli halitakuumiza. Unapaswa uishi falsafa ya ustoa, unapaswa kutegemea mambo kwenda tofauti na unavyotarajia. Unapaswa kutarajia kwamba watu wanabadilika, hivyo kuwa tayari kupokea chochote kile kutoka kwa mtu hata ambaye ulikuwa hutarajii kama anaweza …

Je, Wewe Ni Nani?

Kama bado hujafungua ndoa na utajiri na kuupa umasikini talaka, jipatie nakala yako leo kwa bei ya ofa shilingi elfu 5 badala ya elfu 10 ili uweze kupata maarifa sahihi yatakayokuwezesha kufunga ndoa na utajiri na kuupa umasikini talaka. 0717101505 Inasikitisha kuona watu ambao wanataka kupata mafanikio pasipo kufanya kazi. Wako ambao wanaamini kwa njia …

Usiangalie Maumivu Unayopitia Bali Angalia Hiki Hapa

Jiunge na Klabu ya Mimi Ni Mshindi Nimezaliwa Kushinda ili upate maarifa sahihi yatakayokuwezesha kupiga hatua kwenye kile unachofanya. Kiasili sisi binadamu ni watu wa kukata tamaa, kuchoka, kuahirisha mambo. Pale mambo yanapokwenda kinyume na sisi tunaruhusu hali za kushindwa. Watu huwa hawapendi kujitesa, hata katika kazi mtu akiona kazi au kile anachofanya kinamchosha anaamua …

Bado Hujamaliza Kazi

Pata nakala yako leo kwa bei punguzo shilingi elfu 5. Usikubali kuishi bila kujua sababu za kwanini umezaliwa kushinda Huwa tunaona tumeshafika kwenye baadhi ya maeneo katika maisha yetu. Tunaona tumemaliza kazi na hatuna tena cha kutuhangaisha kuweka kazi. Kifupi ni kwamba bado hujamaliza kazi, unaweza ukajiambia kwa sasa umemaliza kazi kwenye kutafuta masoko eneo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started