Kazi Kubwa Ya Muuzaji Katika Mauzo

Maisha yetu ni mauzo na kila siku tuko katika mchakato wa mauzo. Mauzo ndiyo habari ya mjini kwa kila binadamu, kwa sababu mauzo ndiyo yanatufanya tuweze kupata kitu ambacho tulikuwa hatuna. Kila anayeuza kuna thamani anaitoa kwa mtu mwingine na mtu anapotoa thamani kwa wengine anapaswa kulipwa. Kumbe basi, hakuna mtu ambaye anatengeneza bidhaa kwa …

Macho Yako Hayawezi Kuona Kitu Hiki

Njia rahisi ya kujua vitu vingi ni kujifunza na kuchukua hatua. Macho yako hayawezi kuona kitu ambacho akili yako haijui. Ukitaka macho yako yaone vitu vingi, jiruhusu kujifunza na macho yako yataona fursa nyingi. Fursa huwa zipo kila mahali, na wala siyo kitu cha kutafuta. Na wala hakuna fursa mpya, fursa zipo kila siku na …

Zawadi Bora Ya kumpatia Mtu Kwenye Mawasiliano

Ni mrejesho. Siku hizi watu wamekuwa bize kiasi kwamba hata ukiwatumia ujumbe wanashindwa kujibu. Ukiwatumia watu ujumbe wa meseji za kawaida ndiyo hawajibu kabisa angalau kwenye mitandao ya kijamii. Katika kujenga mahusiano imara hii siyo kitu kizuri. Kwa kuwa mawasiliano ni mrejesho, pale mtu anapokutumia ujumbe au kupokea kitu unapaswa kutoa mrejesho. Kama mtu alitumia …

Sheria Bora Zitakazo Kufanya Uwe Kiongozi Bora

Kabla hujasema wewe siyo kiongozi, jua kabisa makala hii inakuhusu wewe. Wewe ni kiongozi wa maisha yako binafsi, Ni kiongozi wa familia yako, Ni kiongozi wa biashara zako, Ni kiongozi kwenye eneo lako la kazi. Kifupi, wewe ni kiongozi na kuwa kiongozi siyo mpaka uwe kiongozi wa nchi. Katika kitabu jinsi ya kuendesha nchi kilichoandikwa …

Vitu Viwili Vya Kumwelezea Mteja Wako

Kama tunavyojua mteja ndiyo mfalme kwenye biashara yoyote ile. Siyo tu ni mfalme bali pia mteja ndiyo bosi. Mteja anaweza kukufukuza kazi hata kama biashara ni yako. Unaweza kujiuliza biashara ni yangu iweje mteja anifukuze? Akiacha kununua kwako na akiwaambia na mwenzake mpaka hapo anakuwa ameshakuharibia biashara yako. Na unapaswa kujua kwamba, mteja huwa hakosei …

Njia Bora Ya Kutawala Soko Kwenye Biashara

Huwezi kuingia kwenye ushindani wa kutawala soko kama huna bidhaa bora. Kumbe basi, njia bora kabisa ya kutawala soko ni kuwa na bidhaa bora. Lakini pia, haitoshi kuwa na bidhaa bora pekee yake. Kama ingekuwa ni bidhaa bora peke yake basi watu wengi sana wangeuza. Ukishakuwa na bidhaa bora, unachotakiwa kufanya ni kupambana na vitu …

Utajisikiaje Kama Watu Wakikukuta Unafanya Kitu Hiki Kabla Ya Kifo Chako

Pata picha unafanya kile unachofanya na hapo hapo unapoteza maisha yako yaani mwili na roho yako vinakuwa vimetengana. Je, utakua tayari watu washuhudie au wajue kile ulichokuwa unafanya na wakitangaze kwa watu? Kama unatumia muda vizuri katika kufanya mema na mambo sahihi utakua huru dunia kujua kile ulichokuwa unafanya kwa sababu ni kitu sahihi. Lakini, …

Binadamu Hawaangamii Kwa Kukosa Maarifa Bali Anaangamia Kwa Kukosa Hiki Hapa

Jana nilikuwa mahali napata huduma, nikasikiliza kipindi cha radio ambacho kilikuwa kipo hewani. Wakati napata huduma, kipindi kilishika umakini wangu kwa sababu walikuwa wanaongelea mambo muhimu. Mtangazaji wa radio Kicheko alikuwa anamhoji mtaalamu wa mazingira ambaye Pd. Msafiri wa Jimbo la Moshi. Mtaalamu huyo wa mazingira alitoa umuhimu wa kila mmoja wetu kutunza mazingira na …

Hakuna Mtu Aliyeshindwa Kama Anafurahia Kitu Hiki

William Feather aliwahi kunukuliwa akisema, hakuna mtu aliyeshindwa kama anayafurahia maisha yake. Kipimo pekee cha mafanikio kwako ni kwa namna unavyoyafurahia maisha yako. Je, unayafurahia maisha yako? Na utayafurahia maisha yako pale tu utakapokuwa unafanya yale ambayo ni muhimu zaidi kwako. Pale utakapojua nini unataka na maisha yako na kisha kuweka mikakati ya kufikia kile …

Vitu Viwili Pekee Muhimu Kwenye Biashara

Kuna vitu viwili muhimu kwenye biashara sina uhakika kama itakufaa lakini ukivijua vitakusaidia kufikia mafanikio makubwa kwenye biashara yako. Moja ni jinsi gani ya kupata wateja. Biashara yako haiwezi kupata wateja kama hujaifanyia masoko. Masoko ni kuifanya biashara yako ijulikane, kama hujawaambia watu unauza nini watu siyo malaika kuweza kubashiri kile unachouza. Pambana sana ili …

Design a site like this with WordPress.com
Get started