Huwa tunahangaika na vitu vingine ambavyo viko kabisa ya uwezo wetu. Wala hatuwezi kuviathiri moja kwa moja lakini tunalalamika kweli. Ni kawaida ya binadamu kulalamika kwa jambo lolote lile ambalo halijaenda sawa na vile alivyotaka yeye. Kwenye falsafa ya ustoa, kuna vitu viwili, Moja,Baadhi ya vitu vipo ndani ya udhibiti wetu. Kwa mfano, kudhibiti hasira, …
Kabla Hujafikiria Kupata Fedha, Fikiria Hiki Hapa Kwanza
Kama fedha ingekuwa ni dini basi fedha ndiyo dini inayowaunganisha watu wote duniani bila kujali tofauti zao. Fedha ni jawabu la mambo yote hilo halina ubishi. Kwa sababu kila mtu anataka fedha sasa kabla hujafikiria utapataje fedha, fikiria kwanza kutoa thamani. Fedha zimefichwa katika kutoa thamani, wape watu thamani kwa sababu fedha ni zao la …
Continue reading "Kabla Hujafikiria Kupata Fedha, Fikiria Hiki Hapa Kwanza"
Vumilia Matokeo Lakini Siyo Mchakato
Maisha ni mchakato na siyo matokeo ya siku moja. Watu wengi wamekuwa ni watu wa kutaka matokeo ya haraka kwenye maisha yao na kitu ambacho hakipo.Ukilazimisha matokeo ya haraka, utakachopata ni maumivu baadaye. Endelea kukaa kwenye mchakato wa kutafuta kile unachotaka na matokeo ni suala la muda tu. Vumilia matokeo lakini siyo mchakato. Mchakato wa …
Kuwa Mbele Ya Kitu Hiki
Kwenye maisha unapaswa kuwa mbele ya mabadiliko, kabla mabadiliko hayajatokea basi unapaswa kuyawahi. Kwenye kazi, biashara na maeneo mengine ya maisha yetu, usikae mpaka mabadiliko yaje na yakukute hujajiandaa bali mabadiliko yaje, yakukute tayari umeshajiandaa. Kuwa mtu wa kusoma nyakati, ona mbele, ona mabadiliko gani kwenye eneo ulilopo yanaweza kutokea na yafanyie kazi. Ukiwa mbele …
Watu Wananua Kwa Sababu Hii
Watu wananunua kwa sababu zao binafsi. Pata picha wiki umenunua vitu vingapi? Na je, umenunua kwa sababu gani? Ukimuuliza mtu swali hili kila mtu atakuja na majibu yake na hapo unapata jibu kwamba kila mtu ananunua kwa sababu zake binafsi. Ili mtu aweze kununua kwako, kwanza inabidi ujue maumivu ya mteja. Huwezi kuuza kama hujui …
Epuka Ushamba Huu Wa Kitanzania
Wengi wakipata fedha au mafanikio kidogo tu wanakuwa kama wana ushamba wa hela. Na watanzania wengi wana ushamba wa hela, hela kidogo zinamfanya mtu alewe sifa na kujiona hakuna kama yeye kwenye hii dunia.Kitu ambacho watu wengi hawakijui kuhusu utajiri ni hiki hapa, utajiri siyo kile kinachoonekana kwa nje bali ni kile kisichoonekana kwa nje. …
Jinsi Ya Kuwa Na Mchango Kwenye Jamii
Maisha yenye maana ni yale ambayo yana mchango kwa wengine. Je, maisha yako yana mchango kwa wengine?Ili maisha yawe na mchango kwa wengine unapaswa kufanyanini? Kwa kufanya kitu chenye manufaa kwa watu wengi iwezekanavyo tunaweza kuwa na michango kwenye jamii. Kila unachofanya kinapaswa kuwa na manufaa siyo tu kwa watu wengi hata kwa watu wachache …
Unajionaje Ukiwa Sehemu Hii
Kila mmoja wetu ana picha kubwa ndani yake ambayo anaiona. Picha hii ina nguvu sana kutusaidia sisi wote kuweza kutimiza malengo yetu. Kuna wakati unajiona kabisa unaweza kufanya kitu fulani na kuna wakati unajiona kabisa huwezi kufanya kitu fulani. Picha ina nguvu, ndiyo inayoendesha maajabu mengi na makubwa ambayo watu wanafanya. Je, wewe binafsi unajionaje …
Wasaidie Watu Kupitia Kitu Hiki
Rafiki yangu nikupendaye,Kama unataka ufanikiwe zaidi kwenye chochote kile, wasaidie wengine kupata kile wanachotaka na wewe utapa kile unachotaka. Sasa basi, unachotakiwa kufanya ni wewe kuweza kusaidia watu kupitia MAUZO. Kwa sababu ni kupitia MAUZO ndiyo wewe utaweza kupata chochote kile unachotaka. Kwa sababu kila mmoja wetu ni muuzaji, mpaka hapo ulipo, upo kwa sababu …
Usikubali Watu Wakushinde Kwenye Vitu Hivi Viwili
Kwenye maisha watu wanatushinda katika mengi. Watu wanatushinda kiuzuri, wanatushinda kimwonekano, wanatushinda kipato, mali na vingi wanavyomiliki nk. Unaweza kukubali watu wakushinde kwenye vitu vyote lakini usikubali wakushinde kwenye vitu hivi. Moja, kazi. Usikubali mtu akushinde katika kufanya kazi. Jitahidi kufanya kazi kuliko watu wengine. Kwa sababu kazi ndiyo rafiki wa kweli ambaye anaweza kukupa …
Continue reading "Usikubali Watu Wakushinde Kwenye Vitu Hivi Viwili"