Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa u buheri wa afya. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo ambapo leo ni siku ya pili katika mwaka 2017 tunapaswa kuutumia vizuri muda wetu kwani ukishapotea hatuwezi kuurudisha tena. Mpendwa msomaji, usikubali siku yako ipite bila hata ya kufanya …
Continue reading “Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Msambaza Sumu Kwenye Maisha Yako”