Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama rafiki na unaendelea kuwajibika katika majukumu yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo tunaalikwa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Leo ni tarehe moja ya mwezi wa pili mwaka elfu mbili na kumi na …
Continue reading “Hivi Ndivyo Unavyoweza Kusafiri Nchi Nyingi Duniani”