Njia Nzuri Ya Ukosoaji

Kuna njia ambayo unaweza kumsifia mtu na baada ya muda ukawa umefuta yote ambayo umemwambia. Kuna neno ambalo ukilitumia hata kama mtu amefanya mazuri, anajikuta anasahau yale mazuri ambayo umemwambia. Na watu huwa hawasifii, kwa sababu wanamsifia mtu huku tena wanakosoa kwa namna nyingine. Na neno ambalo linafuta sifa zote ni lakini. Kwa mfano, nimekusamehe …

Hii Ndiyo Asilimia Yenye Mafanikio Makubwa Kwenye Kila Tasnia

Kwenye tasnia yoyote ile unayoijua duniani, basi asilimia moja kwenye kila tansia ndiyo ina mafanikio makubwa.Kwenye kila tasnia, asilimia moja ndiyo wana mafanikio makubwa. Kwa mfano, ukiangalia kwenye uandishi, udaktari wale ambao wamefanikiwa sana kwenye tasnia hizo ni asilimia moja tu ya watu wenye mafanikio makubwa.Asilimia tisini na tisa, huwa inakua na maisha ya kawaida …

Usiende Kinyume Na Asili

Mpendwa rafiki yangu, Kama utayaendesha maisha yako kadiri ya asili basi hautakuwa na maisha magumu. Kinachofanya maisha kuwa magumu, ni watu kuhangaika na vitu vingi. Kiasili, mahitaji ya msingi ni machache lakini anasa ndiyo zinafanya maisha kuwa magumu. Maisha tayari ni magumu, usiyafanye kuwa magumu zaidi kwa kuhangaika na mambo mengi.Jitafute na ukishajipata, tulia kwenye …

Kustaafu Ni Kuisha Kwa Matumizi

Tafiti zinaonesha kwamba watu ambao huwa wanastaafu kazi huwa wanakufa mapema. Hata kama utastaafu kazi kwa ajili ya kutimiza sheria za kazi lakini kwako binafsi usistaafu kazi. Fanya kazi maisha yako yote. Na siku ukiwa hauko duniani ndiyo utakua mwisho wako wa kazi. Ila kwa sasa fanya kazi.Kustaafu kazi maana ni kuisha kwa matumizi. To …

Jinsi Ya Kupata Watu Waaminifu Wa Kufanya Nao Kazi

Hakuna kitu kigumu kwenye zama hizi kama kupata watu waaminifu. Ingekuwa watu waaminifu wanauzwa dukani kama bidhaa, basi ingekuwa raha lakini watu hao hawapatikani dukani. Uaminifu umekuwa ni changamoto, kuanzia kwenye mahusiano, kazi, biashara yaani kila sehemu. Watu ni rahisi kuigiza uaminifu lakini anashindwa kuishi uadilifu akiwa peke yake. Unapaswa kujihusisha na watu waaminifu kwenye …

Maandalizi Bila Ufanisi

Maandalizi yoyote unayofanya kwenye maisha yako, hakikisha maandalizi hayo yana kitu kimoja muhimu ambacho ni ufanisi. Haina haja kuwa na maandalizi, halafu maandalizi hayo hayana ufanisi. Jitahidi sana unapojiandaa unakuwa na maandalizi yenye ufanisi. Na tunaposema ufanisi, maana yake viwango vimezingatiwa na ubora. Kwa maandalizi yoyote yale, jiandae vizuri na usifanye kitu juu na kushindwa …

Haya Ndiyo Makosa Mazuri

Kila mtu anakosea kwenye maisha yake. Na makosa mazuri ni yale ya kufanya kuliko kuliko kutokufanya. Ni bora kufanya kile unachopaswa kufanya kuliko kutokufanya. Unapofanya na ukakosea, kuna vitu utakavyojifunza na ukaviboresha zaidi. Ukifanya na ukakosea, hutaweza kurudia makosa hayo hayo wakati mwingine. Lakini, utafanya vizuri na kwa usahihi ili usirudie makosa. Usiogope kukosea, fanya …

Hii Ni Kwa Ajili Ya Waajiri Na Waajiriwa

Kama umeajiriwa unapaswa kufanya uwekezaji. Na watu wengi huwa wanasubiria wakishamaliza kustaafu au wakimaliza mkataba wa kazi basi wapewe fedha yao. Changamoto moja ni kwamba, hela za kwenye mifuko ya pesheni siyo za uhakika. Ni fedha ambazo ziko nje ya uwezo. Hata ukishastaafu, huenda usipate kwa muda unaotaka wewe. Na unakuwa unashida kweli, lakini huna …

Jinsi Ya Kukabiliana Na Hali Pale Mambo Yanapoenda Vibaya

Ni wazi kabisa mambo hayawezi kwenda kama vile unavyotaka wewe. Dunia haiwezi kwenda kadiri ya matakwa yako. Dunia inaenda kadiri ya vile inavyotaka. Mambo yanatokea kama yalivyopangwa kutokea. Unawezaje kukubaliana na mambo pale yanapokwenda vibaya? Jibu, ni wewe kutokwenda vibaya kama mambo yalivyoenda. Kumbuka, mambo yameenda vibaya usikubali na hayo mambo yakuendeshe na wewe uwende …

Design a site like this with WordPress.com
Get started