Vichocheo Viwili Vya Kukusaidia Kufanya Makubwa Kila Siku

Thamani na kusudi vitakupa kichocheo cha kufanya kila siku. Kuweza kufanya kitu kila siku kwa maisha yako yote siyo rahisi, wengi hukata tamaa na kuacha baada ya muda. Wengi wanaishia njiani, kukaa kwenye mchakato kila siku siyo kazi rahisi inahitaji kuwa na kitu ambacho kinakusukuma kufanya hivyo. Vipo vitu viwili ambavyo vinaweza kukupa kichocheo cha …

Tahadhari; Kuna Mtu Anaitamani Nafasi Yako

Bilionea Mark Cuban anasema kuwa, fanya kazi masaa 24 kama kuna mtu mwingine atakuja kukutoa hapo. Kila nafasi ambayo upo kuna mtu mwingine anaitaka sana hiyo nafasi hivyo usipoifanyia kazi watu wengine watakunyang'anya nafasi hiyo. Kwa mfano, mteja uliyenaye haumtamani kuwa naye peke yako, bali kuna watu wengine pia wanamtamani. Biashara unayofanya siyo kwamba wengine …

Hakuna Kitu Kitakachokuja Ukiwa Hivi

Iko wazi kwamba hakuna kitu kitakachotokea au kuja kwenye maisha yako ukiwa umekaa. Hii ina maana gani? Hii ina maana kwamba, kila kitu kwenye maisha yako utakipata kwa njia ya kupambania. Ni bora mtu ambaye anafanya kuliko mtu ambaye hafanyi. Mkaa bure si sawa na mtembea bure. Milango haifunguki pasipo kufunguliwa. Pata picha kama uko …

Sehemu Rahisi Ya Kuanzia Kujifunza

Mtu mmoja aliwahi kunukuliwa akisema, ninachotaka kujua ni wapi nikienda nitakufa na niepuke kwenda sehemu hiyo. Hii ina maana gani? Tunapaswa kujua ni vitu gani tukifanya tutaishia kupata maumivu na wapi tutapata matokeo mazuri. Hivyo basi, sehemu nzuri ya kujifunza ni kwenye makosa yako mwenyewe na makosa ya wengine. Angalia kwako wewe mwenyewe ulifanya makosa …

Siyo Bufee ni Lazima

Unapojenga misingi yako kwenye kazi au biashara inapaswa kuwa ni suala la lazima na siyo bufee.Kwenye bufee mtu anachagua aina ya chakula anachotaka. Sasa unapojenga timu ukitaka kila mtu achague kufanya kile anachotaka huwezi kufikia lengo. Kama unajenga kitu, ni lazima kila mtu afuate misingi unayojenga na siyo kuchagua. Mtu asikuambie hiki naweza kufanya hiki …

Siyo Bufee ni Lazima

Unapojenga misingi yako kwenye kazi au biashara inapaswa kuwa ni suala la lazima na siyo bufee.Kwenye bufee mtu anachagua aina ya chakula anachotaka. Sasa unapojenga timu ukitaka kila mtu achague kufanya kile anachotaka huwezi kufikia lengo. Kama unajenga kitu, ni lazima kila mtu afuate misingi unayojenga na siyo kuchagua. Mtu asikuambie hiki naweza kufanya hiki …

Usidanganye Kwenye Mchakato, Huyu Hapa Atakukamata

Anayepaswa kuaminiwa ni Mungu tu, wengine wote tunapaswa kuleta data. Unaweza kudanganya kwenye mchakato lakini matokeo yakakukamata. Usitengeneze mazingira ya kutokuaminika kwenye maisha yako. Kuaminika ni mtaji, ukivunja uaminifu kwenye mchakato wowote ule kumbuka matokeo yatakukamata. Unasema biashara yako inaendelea vizuri, inaendelea vizuri kwa namba zipi unazopima? Unasema uko kwenye mchakato, lakini matokeo yanakukamata. Watu …

Kuwa Kama Google

Kwa zama ambazo tunaishi sasa, kila mtu akitaka kitu lazima aanze na ku google kwanza. Google imeturahisishia maisha. Tumekuwa tunaamini google kwamba, ukiingia na kugoogle kile unachotaka basi unakipata. Na watu huwa wanapata shida sana kwenye eneo la kufanya maamuzi. Hivyo, kabla hawajafanya maamuzi yoyote yale, google huwa inawasaidia kufanya maamuzi. Kabla mtu hajafanya maamuzi …

Unakomaa Na Nini ?

Ukiwa unaenda safari yoyote, kabla hujaongeza mwendo zaidi lazima ujue kama uko njia sahihi au la.Hata kwenye maisha yetu ya kila siku, kabla hujaendelea kufanya kile unachopaswa kufanya unapaswa kujua je, uko katika sehemu sahihi. Usiendelee kufanya kile unachofanya kama hujui hata nini unafanya. Usisafiri kama hujui wapi unaenda. Jua kwanza njia, jua kama upo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started