Mpendwa rafiki yangu nikupendaye, Kwenye maisha kila kitu kinatokea kwa sababu. Hakuna kitu ambacho kinatokea bila sababu. Hata sheria ya matokeo na visababishi inasema hivyo. Kitu kitatokea mpaka pale kitakaposababishwa. Kwa mfano, jiwe haliwezi kwenda mahali mpaka mtu aje kulisogeza. Katika hali ya kawaida, huwezi kupokea simu ambayo haijaita. Ili uchukue simu na upokee sharti …
Kama Huamini Kile Unachouza Huwezi Kuuza
Mpendwa rafiki yangu nikupendaye, Watu wengi wanashindwa kuuza kwa sababu wao wenyewe siyo mashambani namba moja kwa kile wanachouza.Yaani kama unauza kitu, wewe kama muuzaji ndiyo unapaswa kuwa na imani ya juu kuhusu kile unachouza kiasi cha wateja kutokuwa na shaka juu ya huduma au bidhaa unayouza. Chochote kile unachouza wewe ndiyo unakuwa mnunuaji namba …
Umejipata Au Unajitafuta ?
Mpendwa rafiki yangu nikupendaye, Kama unataka kujipata unatakiwa kufanya mambo mengi kisha kupitia mambo hayo mengi unachagua kitu kimoja ambacho uko vizuri na hapo unakuwa umejipata. Ukishajipata, unapaswa kutulia na kile ambacho umejipata nacho. Siyo umejipata kisha unaendelea kujitafuta na mahangaiko mengine mengi. Watu ambao wana mafanikio makubwa, huwa hawahangaiki na vitu vingi bali unakuta …
Kama Huingizi Fedha Tatizo Linaanzia Hapa
Mwanamafanikio, Utaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako kama utaweza kuuza zaidi. Kama huoni fedha zikiingia, shida inaanzia kwenye mauzo. Maana yake huuzi. Kama unataka kupata fedha, basi uza zaidi. Kila mtu ni muuzaji, kila mtu anapaswa kuuza. Ukiona huna fedha jiulize, naweza kuuza nini. Jiulize utawezaje kuwasaidia watu ili upate unachotaka kwenye maisha yako? …
Continue reading "Kama Huingizi Fedha Tatizo Linaanzia Hapa"
Jinsi Ya Kufanya Yale Muhimu Zaidi
Kwa dunia ya sasa, usipokuwa na kipaumbele, kila kitu kwako kitakuwa kipaumbele. Kwa sababu mambo ya kufanya ni mengi hivyo ni muhimu sana kuwa na fokasi kwenye yale ya msingi ili uweze kupata matokeo. Una mambo mengi unayotaka kufanya kuliko muda ulionao wa kuyafanya. Kitu pekee kitakachokuwezesha kufanya yale muhimu ni kuwa na kipaumbele kwenye …
Kama Haileti Jibu Sahihi
Wakati unasoma hesabu, ukitumia njia sahihi lazima ilete jibu sahihi. Njia sahihi siku zote lazima ilete jibu sahihi. Kama njia sahihi haileti jibu sahihi basi kuna mahali utakua unakosea. Usilalamikie njia mbona haileti jibu sahihi kwako wakati kwa wengine inaleta. Kaa chini na jitathimini namna unavyotumia hiyo njia unaitumia kwa namna gani. Kitu chochote sahihi …
Kuna Wakati Kitamfikia
Tunapaswa kuwa makini sana na yale tunayoyaongea kwa wengine kwa sababu, hata kama tunafanya siri, jua kuna wakati kitamfikia na hilo litaharibu mahusiano yenu. Uaminifu kwa wengine ni muhimu sana. Waheshimu na kuwaamini wengine, hata kama hawapo pale ulipo. Usimseme mtu vibaya ambaye hayupo, usishiriki maongezi ya kuwateta watu ambao hawapo. Na wakati wowote unapokutana …
Kanuni Ya Dhahabu
Tunapaswa kujua kuwa binadamu sisi ni watu wa maslahi.Sisi ni wabinafsi. Kabla hatujafanya jambo, huwa tunaangalia kwanza sisi tunapata nini ndiyo tufanye. Kumbe basi, watu wanafanya pale wanapoona kuna maslahi binafsi wanayoyapata. Kanuni ya dhahabu inadai usawa. Inasema hivi, wafanyie wengine kile ambacho unapenda wakufanyie wewe. Kwa nini?kwa sababu kile unachowafanyia wengine, kwa hakika hicho …
Watu Watakuunga Mkono
Ni kawaida ya binadamu, pale ambapo bado hujaanza kufanya kitu, unakuwa na wasiwasi fulani. Je, vipi kama nikifanya na kukutana na changamoto itakuwaje?Usiwe na wasiwasi rafiki yangu, utapata watu ambao watakusaidia kukuunga mkono kwenye kile unachofanya. Kabla ya kuanza kitu, unaweza kujiona kama vile uko mwenyewe. Lakini, ukishaanza, wale wenye mapenzi ya dhati wataungana na …
Kinachokukwamisha Kwenye Maisha Yako
Kama hauendi mbele, basi jua unarudi nyuma. Na kama haurudi nyuma basi jua unaenda mbele. Kwa sababu kwenye maisha hakuna kusimama. Ni aidha unaenda mbele au unarudi nyuma. Ukijaribu kuchunguza kinachokurudisha nyuma au kukupeleka mbele ni kitu kimoja tu. Nacho ni kufanya maamuzi. Uko hapo ulipo kwa sababu ya maamuzi uliyofanya huko nyuma.Kila kitu kwenye …