Kwenye maisha watu huwa wanakutana na mengi. Na maisha ni shule.Na changamoto ndiyo mitihani yenyewe kwenye shule.Huwezi kwenda darasa moja zaidi bila kuvuka hili ulilokuwa nalo sasa. Maisha ni mtihani. Ukiwa na kitu mtihani na usipokuwa na kitu mtihani. Unapaswa kuwa makini kwa sababu, kuna tabia za watu huwa wanapenda kufanya majukumu yao, siyo yao …
Tafuta Namna Ya Kuanza
Ukiwa unataka kufanya kitu, usifikirie ni namna gani utaweza kukifanya kitu hicho. Kwa sababu, utatumia muda mwingi kufikiria. Hivyo basi, badala ya kufikiria sana, wewe tafuta namna ya kuanza kitu hicho mara moja.Kwa mfano, ukifikiria kusoma kitabu fulani, utaweza hata kuahirisha kusoma. Lakini ukianza kusoma KURASA moja, ni rahisi kusoma nyingine ya pili. Ushindi uko …
Kitu Ambacho Watu Huwa Hawaishiwi
Kadiri unavyohusiana na watu ndivyo unavyoweza kujifunza mengi. Tokea dunia iwepo, vitu vingi sana vimebadilika lakini binadamu bado hajabadilika. Tabia za binadamu bado ni zile zile.Mtu akitaka kufanya kitu, anafanya. Mtu kama hataki kufanya kitu hafanyi. Na watu ambao hawataki kufanya kitu, ndiyo watoa sababu kwa nini wasifanye. Kitu ambacho watu hawajaishiwa kwenye maisha yao …
Mafanikio Ya Kweli Yanatoka Hapa
Mwanamafanikio, Mafanikio ya kweli ni maelewano ya nguzo tano za maisha. Ili kuwa na mafanikio ya kweli kwenye maisha, lazima kuwe na maelewano kwenye nguzo hizi kuu tano kwenye maisha yako. Nguzo hizo tano ni, fedha, mahusiano, akili, mwili na roho. Maelewano haya ndiyo yanafanya maisha yaweze kwenda kwa pamoja na hata kupiga hatua. Kwa …
Dunia Inakufikiria Wewe Kwenye Nini?
Kwenye maisha wale wanaofanikiwa sana, ni wale watu ambao wanategemewa.Kama hutegemewi na watu wengi maana yake hata mafanikio yako yatakuwa ni madogo. Ili dunia iweze kukukufikiria wewe kwenye kitu fulani lazima uwe ni mtu wa kutegemewa.Na ili dunia ikutegemee, kwanza unapaswa kuwa mtu wa kuaminika. Dunia huwa inafanya kazi na watu wanaoaminika kwenye kile wanachofanya …
Jiulize Unalipaje Kwenye Kila Bure
Ukichunguza kila bure siyo bure kweli. Kwa sababu vitu vingi ambavyo huwa tunapewa bure, siyo bure kwa namna yoyote ile. Bure huwa inatumika kama chambo ili wahusika waweze kukusogeza kwenye kile wanachotaka. Siyo mara yako ya kwanza wewe kuna kwenye bure na baadaye ukajikuta unaingia kwenye gharama kubwa. Bure inakuzuia wewe kupata kile unachotaka. Kwa …
Mambo Siyo Rahisi Kama Wachambuzi Wa Mipira
Ukiwaangalia wachambuzi wa mpira wanavyochambua mambo ya mpira unaweza kufikiria kuwa mambo ni marahisi hata kwenye maisha kiujumla. Mambo siyo rahisi. Kwenye kila kitu kazi inahitajika. Kuchambua na kucheza ni vitu viwili tofauti. Kuchambua ni kuongea na kuongea ni kila mtu anaweza. Kucheza ni kazi na watu wengi hawataki kazi ndiyo maana maisha huwa yanawapiga …
Continue reading "Mambo Siyo Rahisi Kama Wachambuzi Wa Mipira"
Kile Unachotaka Kimejificha Sehemu Hii Hapa
Kila mmoja wetu kuna kitu anakitafuta kwenye maisha yake. Kila mmoja wetu ana kitu anachotaka kwenye maisha yake. Na vitu vyote tunavyovitaka haviwezi kuja kirahisi huku sisi tukiwa tumeweka mikono yetu mifukon. Bali, chochote tunachotaka au kukitafuta tutakipata kwa njia ya kukifuatilia. Kila kitu kwenye maisha yetu kimejificha kwenye UFUATILIAJI. Ufuatiliaji kwenye kila eneo la …
Continue reading "Kile Unachotaka Kimejificha Sehemu Hii Hapa"
Haupewi Unachostahili Bali Unapewa Hiki
Wakati wa kutafuta kitu fulani kwenye maisha yetu huwa tunaamini kwamba tunastahili kupata kile tunachotaka. Tunapokuwa tunaamini tunastahili kupata, na matokeo yakija tofauti tunaona kuwa dunia ina kisirani na sisi. Tunaanza kulalamika na kuona kama dunia imetufanyia ukatili.Kama kila mtu anastahili kupata kile anachokitaka, basi mafanikio makubwa kwenye maisha yangekuwa rahisi sana. Unachopaswa kujua ni …
Manung’uniko Ya Watu
Rafiki yangu nikupendaye, Kama unafanya kazi ya mtu hakikisha basi unaifanya kazi hiyo kwa usahihi na kumwachia mtu kazi nzuri. Kama mtu anakudai hakikisha unalipa hela ya watu. Usipende kukaa na hela ya watu kwa sababu, manung'uniko ya watu hayawezi kukuacha salama. Kama kazi yako wewe ni kuharibu mahusiano ya watu, basi manung'uniko ya watu …