Nadharia Ya Dawa Ya Meno Kwenye Fedha

Pata picha, ukinunua dawa ya meno au ya mswaki unavyokuwa unaitumia.Dawa ikiwa mpya, wala hutojali, utaitumia vile uvyotaka mwanzoni kwa sababu ipo nyingi. Lakini, pale dawa hiyo inapokaribia kuisha ndiyo unakuja kushtuka na kuanza kuitumia vizuri.Kama ulikuwa unaiminya juu, utaanza kuiminyia chini kwa uangalifu.Utaitumia vizuri kuhakikisha inakusaidia kusukuma siku kabla ya kwenda kununua nyingine. Sina …

Ni Jukumu Lako Kuchukua Hatua Ili Kufanikiwa

Rafiki yangu nikupendaye, Usisubiri kupewa ruhusa, ukisubiria kupewa ruhusa kwenye maisha yako utajikuta unachelewa kwenye kila eneo la maisha yako. Kama kuna kitu unakitaka kwenye maisha yako, hakikisha unachukua hatua mpaka ukipate. Wewe ndiye mkurugenzi mkuu wa maisha yako. Hivyo basi, usisubiri mpaka watu waje kukuambia kwamba unatakiwa kufanya mambo fulani fulani, badala yake, unaangalia …

Njia Rahisi Isiyokuwa Na Gharama Kubwa Ya Kuwatambua Na Kuwathamini Watu Kwa Michango Yao

Mpendwa rafiki yangu, Watu wengi hufikiri ili uwatambue watu na kuthamini michango yao basi unahitaji uwe na fedha nyingi. Kwa mfano, kama ni wasaidizi uwe na fedha nyingi za kuwaongezea mshahara, kuwapa marupurupu na hata kuwapa zawadi mbalimbali. Lakini hilo siyo kweli. Watu huwa wanathamini vitu vidogo tu kwa mfano, kumsifia mtu mbele ya wengine. …

Baadaye Amewaangusha Wengi

Rafiki yangu nikupendaye, Kama kuna kitu unaweza kukifanya sasa kifanye tu. Na kama hukiwezi kufanya ni bora uache kabisa kuliko kusema nitakifanya baadaye. Baadaye imetudanganya wengi, baadaye ingekuwa inafanyiwa kazi basi leo watu wangekuwa mbali sana. Lakini, baadaye haifanyiwi kazi badala yake watu wengi wanajificha kwenye mwamvuli wa baadaye. Kinachowezekana kufanyika sasa kisingoje kesho wala …

Kama Hana Uhitaji, Usimfanyie

Mpendwa rafiki yangu nikupendaye, Kama mtu hajakuomba ushauri usimpe. Kwa sababu, hata ukimpa hata kwenda kuufanyia kazi ushauri uliotoa. Toa ushauri kwa mtu ambaye amekuomba ushauri ndiyo atauthamini na kuufanyia kazi. Siyo tu ushauri, hata kama mtu hajakuomba kitu usimpe maana hata kithamini.Mtu kama hana uhitaji wa kitu hicho, hata ukimpa atakipuuza tu. Wasaidie wale …

Kwenye Uongozi Zingatia Vitu Hivi Viwili

Kila mmoja wetu ni kiongozi. Na maisha ni uongozi kwa ujumla kwani tunajiongeza kwenye kila eneo la maisha. Asili ya binadamu ni uongozi. Na sehemu yoyote ambayo unaona mambo yanaenda vizuri basi jua uongozi uko vizuri.Kwa sababu, siku zote samaki huwa anaanza kuozea kichwani na siyo sehemu nyingine. Ukiona mahali watu wanazingua au mambo hayaendi …

Unao Uwezo Wa Kusema Hapana Kwa Mambo Haya

Mwanamafanikio, Kwenye maisha unayo nguvu ya kusema hapana kwa vitu ambavyo hujavipenda. Kwa mfano, unaweza kusema hapana usichopenda. Kama kuna watu ambao hupendi kukaa nao kwa namna wanavyofanya mambo yao, Una uwezo wa kusema hapana na ukakaa na wale unaowapenda. Kama kuna kazi unafanya ambayo huipendi na haiendani na uwezo au vipaji vyako, Una uwezo …

Jinsi Ya Kuwa Bora Kwenye Kitu Chochote Kile

Mpendwa rafiki yangu,Huwezi kuwa bora kwenye kitu chochote kile kama wewe mwenyewe siyo bora.Na ili uweze kuwa bora unapaswa kuwa mtu wa kujifunza kila siku kwenye kile unachofanya. Kila wakati unapaswa kujifanyia maboresho kama vile mitandao ya kijamii ilivyo, kila wakati lazima uwe na toleo jipya ili upate vitu vizuri.Usipojiboresha huwezi kupata ushindi kwenye kile …

Ukisikiliza Sababu Za Watu, Hutoboi

Wakati naanza kuandika, nilipokea vipingamizi vingi sana, kutoka kwa marafiki, jamaa, na hata watu wangu wa karibu.Rafiki, chochote utakachoamua kufanya, wako ambao watakupinga hata kama ni kitu kizuri lakini pia wako ambao watakuwa na wewe kwa hali zote.Na huwezi kulizuia hili kwenye maisha kwa sababu ni asili za watu ndivyo ilivyo. Kwa mfano, hata mtu …

Anza Na Wewe Mwenyewe

Pale tu unapoamka jiambie maneno ya ushindi kama vile wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Yaani jiambie, MIMI NI MSHINDI, NIMEZALIWA KUSHINDA. Mara nyingi watu huwa wanajizuia wao wenyewe kabla hata hawajaanza. Mara nyingi ushindi huwa unaanzia ndani ya mtu kabla haujatoka nje. Usikubali kuanza kushindwa kabla hata hujaanza. Unakubali kushindwa kabla hujaanza ndani yako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started