Watu wengi kwenye jamii yetu huwa wanafanya maamuzi kwa kuendeshwa na silaha ya kufuata mkumbo yaani social proof. Watu hawana muda wa kufikiria na kuja na kitu cha ubunifu.Badala yake wanaangalia mwenzao wamefanya nini ili na wao wafanye. Na asilimia 5 ya watu duniani ndiyo wabunifu. Asilimia 95 ya watu duniani wanaiga tu nini ambacho …
Continue reading "Usiendeshwe Na Mkumbo Kwenye Chochote Kile"