Kila mtu anapenda kufanikiwa.Na kama kwenye maisha yako umeshajaribu vitu vingi na ukajikuta umejipata kwenye kitu fulani, shukuru Mungu na tulia hapo. Chochote kile ambacho kinafanya kazi vizuri kwako kirudie tena kukifanya.Kirudie kwa sababu kinakupa matokeo mazuri.Kitu ambacho kinakupa matokeo mazuri, endelea kukitumia na tulia hapo. Hakuna mtu ambaye anaweza kutabiri kwa usahihi kila wakati,Huwezi …
Tusingekuwa Na Utajiri Kama Watu Wasingefanya Hivi
Mpendwa rafiki yangu nikupendaye, Mpaka hapo ulipofika leo, utakua umeshafanya makosa mengi sana.Na makosa uliyofanya ulifanikiwa kujifunza na ukachagua hatua na hatimaye mpaka ukawa bora. Kila kitu ambacho kinakuja kwenye maisha yetu ni funzo. Kwa sababu, maisha ni shule na changamoto tunazokutana nazo kwenye maisha ndiyo mitihani yenyewe. Kumbuka, huwezi kwenda darasa lingine bila kufaulu …
Continue reading "Tusingekuwa Na Utajiri Kama Watu Wasingefanya Hivi"
Jinsi Ya Kujiandaa Kuyapokea Mapigo Kwenye Maisha Yako
Rafiki yangu nikupendaye, Kila mtu anapitia mapigo kwenye maisha yake.Hakuna mtu ambaye yuko salama, yaani kwake maisha ameshayapatia na hana tena changamoto kwenye maisha yake. Asili ya maisha ni kwamba, maisha yatawaumiza baadhi ya watu kwa namna fulani na kuwasaidia wengine. Kwa kuumizwa kwako, wengine wamepona. Na kwa kuumizwa wengine na wewe umepona.Kwenye maisha unapaswa …
Continue reading "Jinsi Ya Kujiandaa Kuyapokea Mapigo Kwenye Maisha Yako"
Huu Ndiyo Mchezo Mzuri Wa Kucheza Kwenye Maisha Yako
Rafiki yangu nikupendaye, Kwenye maisha kila kitu ni mchezo. Kazi unayofanya ni mchezo na hata biashara unayofanya pia ni mchezo kwako.Ili uweze kushinda kwenye mchezo wowote ule, kwanza unapaswa kucheza mchezo unaouweza. Cheza mchezo ambao wengine ni wapumbavu kwenye mchezo huo huku wewe ukiwa na hekima ili uweze kushinda. Jua mchezo unaocheza vizuri.Usicheze mchezo ambao …
Continue reading "Huu Ndiyo Mchezo Mzuri Wa Kucheza Kwenye Maisha Yako"
Njia Ya Kufanikiwa Hii Hapa
Kwa jamii zetu, huwa tunaamini kwamba kufanya vitu vingi ndiyo kufanikiwa.Lakini siyo kweli, kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja ndiyo chanzo cha kutokufanikiwa. Kubobea ndiyo njia ya kufanikiwa. Kwa mfano, hata mchezaji wa mpira wa miguu uwanjani, hachezi kila namba, bali anabobea kwenye kitu namba moja. Hata kocha anayefundisha kitu fulani, huwa anabobea kwenye kitu …
Mchezo Usiokuwa Na Ukomo
Rafiki yangu nikupendaye,Mchezo usiokuwa na ukomo ni maisha. Na mchezo wa maisha ni kujifunza kusikokuwa na ukomo, kama unataka kupata ushindi. Kama unataka kupata ushindi kwenye maisha, kila siku wewe kuwa mtu wa kujifunza. Hakikisha kabisa, jana yako haifanani na leo. Yaani kila siku kuwa mtu bora zaidi ya jana.Bila ya kuwa na mfumo mzuri …
Rudia Kinachofanya Kazi
Mpendwa rafiki yangu, Pale kitu kinapofanya kazi vizuri, ni vizuri kuendelea kukifanya ili upate matokeo mazuri zaidi. Kwenye haya maisha unapaswa kutumia kanuni ya msingi ya maisha. Hupaswi kuumiza kichwa sana kwa sababu mafanikio siyo kwa watu wenye akili sana, mafanikio ni kutumia akili za kawaida tu na kufanya yale ya msingi kufanya. Ukijaribu kufanya …
Fanya Kitu Hiki Kama Unataka Kupata Mafanikio Makubwa
Kutoka kwa Bilionea Charlie Munger anasema kwamba kama tunataka kupata mafanikio makubwa, lazima tufanye kazi. Lazima watu wasukumwe kwa zawadi na adhabu. Kama utaondoa adhabu, mfumo mzima hauwezi kufanya kazi. Huwezi kutajirika kwa kupiga kura. Ni wazo la kijinga. Mwisho wa kunukuu. Bilionea Charlie Munger kasema, kama unataka mafanikio makubwa, ni lazima kufanya kazi. Kazi …
Continue reading "Fanya Kitu Hiki Kama Unataka Kupata Mafanikio Makubwa"
Njia Bora Ya Kuimarisha Urafiki
Rafiki, Kama unataka kuimarisha urafiki,Ficha vya ziada ulivyonavyo.Kwa mfano pata picha una rafiki yako, ambaye kila mkikutana yeye anachoongelea ni fedha kiasi gani anazo, amepata au amepoteza. Na huku ukiangalia fedha anazozungumzia ni fedha ambazo hujawahi kuota hata kuwa nazo.Utajisikiaje kama ingekuwa ni wewe? Utaona kama anakusanifu tu au anakuinjoyi tu. Au mkikutana anajadili mambo …
Weka Nguvu Kwenye Eneo Hili
Mpendwa rafiki yangu, Kwenye maisha unapaswa kuweka nguvu kwenye kile ambacho kinakulipa. Usihangaike na mambo ambayo hayachangii wewe kuingiza fedha mfukoni.Mambo yasiyokuwa na maana ni mengi.Mambo ambayo unayafuatilia kila siku ni mengi na swali la kujiuliza ni kwamba, je hayo mambo unayojihusisha nayo yanakusaidia. Weka nguvu kwenye mambo yanayokulipa na utafanikiwa kweli.Acha kutawanya nguvu.Muda ulionao …